Hahahahhaa nyamayao una bahati ulikuwa na evidence na kidhibiti kabisa sasa kwa sie wavivu wa kufuatilia na wazembe wa kugundua inakuwaga tabu kweli. Mie nilisikia na kuonyeshwa kila aina ya ushahidi but badala ya kufuatilia nijue ukweli nikafunga moyo .................Si kwa uchungu la hasha nilikuwa kama ninayeshukuru kimoyomoyo kuwa angalau nitapumzika na gubu zake ...............ah
we mpe tuuuuuuuuu
Mbu bana................khaaa!
ukifikia kwa wale wa kununuliwa viwanja na kubadilishiwa magari ndio bac tena kiruuu, ndio mana mie kuanzia lile tukio langu nilimweleza kabisa pesa yangu ni yangu yako ni yetu mana naona haina kazi zaidi ya kujitundika bar na hawara, hapo akili iliniruka kabisa nikifikiria ana spend ngapi kwa huyo mwanamke, maisha haya jamani jamani.....
We mbu mchokozi wewe unafikiri nyumba ndogo hatujijui kama ni spare tyre na ndio maana na sisi tunaangalia penye neema punguza matatizo yako nami nipunguze yangu lol. kwi kwi kwi kwi kwi
hahahah haya bwana, kweli kupunguzana machungu, ndio mana mie nasemega kwa kumrushia chupa sio hawara ni limwanaume lako coz hawara yeye alifatwa tu na maahadi kibao, mie nakula sahani moja na mtoa ahadi labda huyo hawara yake anunue ugomvi na ni wachache wa kununua ugomvi huwa wanatimuka mbio,hahaha natamani ungeniona cku hiyo nilivyowatokezea pale bar maisha bila vimbwanga hayanogi kabisa hahahahah
Swahiba Mbu,
Nadhani mambo ya kujipendelea ni lazima sana tu, si kwa mupenzi tu hapana sometimes hata wewe mwenyewe.... any chance to go out, refresh and dream awake is great
Napenda sana picha ulizoweka, zina raha yake (ombea tu usikutane na mbung'o au nyuki)
Upande wa mapenzi, sometimes just sleeping in a wonderful hotel/motel room with room services, super bath and smoooth drinking while watching something nice inaongeza sana utamu na kupunguza tribunals
Thank you for a gentle reminder" --- angalizo, gesti house za wenyeji hazihusiki na hii sredi:doh:
.mie nikidhani gubu ni yale makelele ya home yacyoisha, kidogo tabu kikubwa tabu, ya kwangu mie kama ni jmc tupo home nikimuona nabadili t-shirt na mie navaa jeans, nakucndikiza uendako, nipo home mpaka saa mbili hajafika namcal niambie upo wapi nikufate,habaki mtu home mwenyewe labda awe safarini. kama hawara atakuwa wanaonana kwa muda mchache sana na kwa wacwac wa kumtosha coz anakumbuka makubaliano yetu baada ya lile tukio, nakaba sana tu sasa hivi mpaka kieleweke.Hahahahhaa nyamayao una bahati ulikuwa na evidence na kidhibiti kabisa sasa kwa sie wavivu wa kufuatilia na wazembe wa kugundua inakuwaga tabu kweli. Mie nilisikia na kuonyeshwa kila aina ya ushahidi but badala ya kufuatilia nijue ukweli nikafunga moyo .................Si kwa uchungu la hasha nilikuwa kama ninayeshukuru kimoyomoyo kuwa angalau nitapumzika na gubu zake ...............ah
...ha ha ha, Maria Roza Mke wa aina hiyo atakuwa hasharifiki japo uliyosema ni kweli tupu!
aahhh, kwenye ndoa hizi...unampata Mke yeye kazi yake kukukatisha tamaa tu! No wonder wanaume wengi
wanajiamulia kujirusha 'Outings' iwe Mango Garden, au hata Dubai na nyumba ndogo
Nice one. Umenichekesha asb asb!
Mzee Mzima MR hajakosea kabisa, zipo sana hizo kwenye ndoa. Maisha haya!
Halafu usipojitutumua utasikia lawama, "Ohhh....mwanaume mbahili weee!...angalia Bwana Kijiko anavyo mstarehesha na kusafiri Mkewe!"
nyamayao bwana.......hivi huweziirudia tena? maana kama nakuona!!
Mbu......laiti mngejua ni jinc gani mnavyoharibu nyumba zenu na hao mahawara zenu bac mcngekuwa mnayafanya, na kama mnafanya hakikisha mnafanya kwa ucri mkubwa sana sana tucjue, kwa msukuma japo tulikuwa kwenye hali icyo shwari pia hakutakiwa kujiamni kivile na kukaa mahali mradi mahali cjui alihic kutokana na tofauti tulizonazo nicnge minda? cjui kwa kweli, ile kitu iliniwekea kitu kama kidonda kinapona taratibu cwezi kukilazimisha kipone, mpaka sasa cjui atafanya nn arudishe hali yangu ya awali, kweli cjui, amekuwa my best frnd na kijitahidi kwa kila hali nirudie hali ya mwanzo kunifanyia hiki na kile but bado kidonda hakijapona kivile, kwa kweli cjui anifanyaje japo mwenyewe anaona maendeleo sio mabaya lakini ukweli ninao mwenyewe.
Anyway, naburudika na Nyamayao na Mwj1 hapa...wamekutana...
.
...nyamayao ni mkali kwenye kulinda 'koloni lake,' ...Mwj1 ni mpole....ukiwasoma ni burudani tosha.
Mamito mi nimechunguza chunguza na kusikiliza stori za watu wengi wengi tu. Yaani katika kitu ambacho wanaume wengi hawawezi acha basi ni kuwa na mahawara. Ni wachache sana ambao hawana so ni bora usimhesabie mumeo kwa hao wachache muweke katika kundi la hao wasioweza acha ili uwe na amani.
Cha kuomba ni uheshimiwe tu ila ukianza kuweka mavidonda moyoni kisa ulimfumania mumeo mbona utajakufa siku si zako. Kwani hapo alipo anakubembeleza lakini akipata muda anachepuka tena anaenda kujikumbushia.
Mbu......laiti mngejua ni jinc gani mnavyoharibu nyumba zenu na hao mahawara zenu bac mcngekuwa mnayafanya, na kama mnafanya hakikisha mnafanya kwa ucri mkubwa sana sana tucjue, kwa msukuma japo tulikuwa kwenye hali icyo shwari pia hakutakiwa kujiamni kivile na kukaa mahali mradi mahali cjui alihic kutokana na tofauti tulizonazo nicnge minda? cjui kwa kweli, ile kitu iliniwekea kitu kama kidonda kinapona taratibu cwezi kukilazimisha kipone, mpaka sasa cjui atafanya nn arudishe hali yangu ya awali, kweli cjui, amekuwa my best frnd na kijitahidi kwa kila hali nirudie hali ya mwanzo kunifanyia hiki na kile but bado kidonda hakijapona kivile, kwa kweli cjui anifanyaje japo mwenyewe anaona maendeleo sio mabaya lakini ukweli ninao mwenyewe.
Mbu huko unakozitoa hizo picha ndo unatafuta pa kumpeleka Wifi nini maana duh................unaibaka tamaa yangu!!
Nice pics
Mamito mi nimechunguza chunguza na kusikiliza stori za watu wengi wengi tu. Yaani katika kitu ambacho wanaume wengi hawawezi acha basi ni kuwa na mahawara. Ni wachache sana ambao hawana so ni bora usimhesabie mumeo kwa hao wachache muweke katika kundi la hao wasioweza acha ili uwe na amani.
Cha kuomba ni uheshimiwe tu ila ukianza kuweka mavidonda moyoni kisa ulimfumania mumeo mbona utajakufa siku si zako. Kwani hapo alipo anakubembeleza lakini akipata muda anachepuka tena anaenda kujikumbushia.
Mbu.............nimejifunza kutokana na makosa loh........si mpole tena namwonea huruma huyo muhusika ajae!!
Mbu huko unakozitoa hizo picha ndo unatafuta pa kumpeleka Wifi nini maana duh................unaibaka tamaa yangu!!
Nice picsChunga tamaa mbaya.......Epuka tamaa mbaya!
Huwezi kuongea unafosi kuimba?:majani7::majani7::majani7: