Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Code:[COLOR=red][B] never waste time buying love[/B][/COLOR]..it has never worked and it will never do........................elekeza hizi nguvu katika kuonyesha mapenzi ya kweli siyo ya vitu,.................................................acha kumsononesha mwenzio kwa matarajio ya kuwa utampooza kwa vitu au mavituz...........[/QUOTE] love needs efforts, kama hutumii efforts kuenzi penzi basi bado hujapenda. N.B efforts ni pamoja na kutumia pesa. [quote="Mbu, post: 2074195"][FONT=Book Antiqua][SIZE=3][COLOR=darkred]Freema, rudia page One kumsoma Maria Roza, Bubu Ataka Kusema, ...na Sangara.[/COLOR][/SIZE][/FONT] [FONT=Book Antiqua][SIZE=3][COLOR=darkred]Wametoa [U]majibu ya msingi[/U] kabisa mydear.[/COLOR][/SIZE][/FONT][/QUOTE] majibu yao yanazidisha maswali, bado hayajitoshelezi.
Sangara yeshakukumba wewe, ha ha ha! Nimekusoma neno kwa neno,
hiyo ndio sababu wengine hujonea bora kuziunguza na 'nyumba ndogo' kuliko kujikera bure!
Mwj1 la aziz wangu,....Nakushauri urudi page one ukamsome tena Maria Roza kisha urudie walichokiandika kina BaK, Fidel80, na Sangara! Nyumba ndogo wanafwaudu kwakuwa Nyumba kubwa hawaishi Gubu!
Kiswahili naringia kwetu pwani mie...he he!
Avatar pole kwa kukukwaza bro,...natamani kusema lililo rohoni lakini acha thread isoge sogee kidogo...soon nitawashukia na wao!
...naaam, naaam....kwa thamani yake na unapokilalia (kitumia) 'hakizai haramu!'
Ehee?!! kumbe wanafaidi sana wenzetu.................................Hamna mtu anayetafuta nyumba ndogo humu jamani? Mkinionea mnijuze. Natanguliza aksante.
Mbu una mafumbo kama mwalimu wa kiswahili!!
Code:Kwa wale wenzangu na mie ambao tukishanuniwa ndio 'hakieleweki mpaka anunuliwe khanga,' si vibaya tukajitutumua na kum-surprise mother house na bonge la week end 'Romantic' retreats kama hizi angalau mara moja kwa mwaka jamani...
never waste time buying love..it has never worked and it will never do........................elekeza hizi nguvu katika kuonyesha mapenzi ya kweli siyo ya vitu,.................................................acha kumsononesha mwenzio kwa matarajio ya kuwa utampooza kwa vitu au mavituz...........
Mbu aksante nimekusoma baba...........kwa hiyo sina haja ya kutamani kuwa nyumba ndogo bali nijitahidi kupunguza/kuacha gubu.
Mbu aksante kwa Remainder nzuri kama hii. Duh kama unamfanyia hayo umpendae mbona namwonea wivu!
Ngoja na mimi nitafute wa kumshika mkono nimlete aje asome hapa kama alivyofanya chauro.
MR umenichekesha sanawanawake wengine tunajifanyaga tuna uchungu na maendeleo kuliko wanaume na cha ajabu ni kuwa hatuzipigii kelele zile zinazotumbuliwa karibu kila siku Baba Chanja kwenye viti virefu akizungusha rounds za bia, konyagi, value, JDs; rounds za nyama choma na mafuta ya gari maana viti vingine huwa vinafuatwa mpaka nje ya mji!
Mbu aksante
hahahah wewe wewe wacha rafu...mie cku hizi kama kuna nyumba ndogo ya permanent bac inakula kwa tabu sana, nakaba mpaka penalt aisee.
we mpe tuuuuuuuuuSikujui nikupe nini Mbu,post yako ni nzuri sana,tena sana ngoja nimtafute muhusika naye ajisomee.
Mwee umfanyie hivi wife si ataanza kukulalamikia huko huko ohoo sijui mbona unachezea hela baba watoto si tungetumia kumalizia kibanda haha hahhah
Viva nyumba ndogo sie tunajua kutumia tuuuu:glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky:
msinishambulie jamani:madgrin:
Pia tusisahau na zile za salon, za watia kucha rangi mitaani na zile za kwenye boutique toleo jipya la nguo!
........Hahahahhahah haya dada wako ameshakuwa evicted candidate......hahahah nyamayao
Sasa Mbu kasema tupunguze gubu, hivi kukaba kwako hakuonekani kama ni gubu pia??
ukifikia kwa wale wa kununuliwa viwanja na kubadilishiwa magari ndio bac tena kiruuu, ndio mana mie kuanzia lile tukio langu nilimweleza kabisa pesa yangu ni yangu yako ni yetu mana naona haina kazi zaidi ya kujitundika bar na hawara, hapo akili iliniruka kabisa nikifikiria ana spend ngapi kwa huyo mwanamke, maisha haya jamani jamani.....
...wow, nashukuru umekuwa mwepesi kubaini hilo.
I wish kina dada wangetambua Nyumba ndogo mara nyingi ni 'spare tyre' tu.
Wanaume wengi hutumia Nyumba ndogo kama 'fire extinguisher' kupunguza machungu toka kwa Bi Mkubwa.
Anyway, hii ni mada nyingine.
Namsubiri Bro Ruta au mwingineo aje aniorodheshee kuonyesha mapenzi ya kweli maana yake nini.
...wow, nashukuru umekuwa mwepesi kubaini hilo.
I wish kina dada wangetambua Nyumba ndogo mara nyingi ni 'spare tyre' tu.
Wanaume wengi hutumia Nyumba ndogo kama 'fire extinguisher' kupunguza machungu toka kwa Bi Mkubwa.
Anyway, hii ni mada nyingine.
Namsubiri Bro Ruta au mwingineo aje aniorodheshee kuonyesha mapenzi ya kweli maana yake nini.
We mbu mchokozi wewe unafikiri nyumba ndogo hatujijui kama ni maspare tyre na ndio maana na tunaangalia penye neema punguza machungu yako nami nipunguze yangu lol. kwi kwi kwi kwi kwi
We mbu mchokozi wewe unafikiri nyumba ndogo hatujijui kama ni maspare tyre na ndio maana na tunaangalia penye neema punguza machungu yako nami nipunguze yangu lol. kwi kwi kwi kwi kwi