Mi Pia naulizia ile ya Maninja ambayo ukiomba dua tu, basi unageuka vingine ukiwa na maguo meusi panga mgongoni (sijui vinatoka wapi),
Ntapata wapi chuo cha hii kitu (U-Ninja)??
Siku hizi kwenye nyumba za ibada mafunzo hutolewa, tena kwa watoto wadogo sana. Sijui, kama Mungu ni muweza wa yote kwanini tujihami kwa karate? Je ni nabii gani aliyekuwa karateka?