Habari za humu Wanajukwaa
Binafsi natamani sana kujifunzaa gitaa.
But nina maswali kidogo kuhusu hiki kifaa kwa wataalamu ambao wanaujuzi nalo
1. Naweza nkatumia muda gani kujifunza gitaa?
2. Acoustic gitaa bei gani kwa sasa? ili kabla sjatafuta mwalimu niwe nalo tayari
3. Ni njia gani bora ya kujifunza gitaa??
MAOMBI.
Kama mtu ana PDF au kitabu ya masomo ya gitaa naomba aweke hapa atabarikiwa na MUNGU wetu