Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,146
@nilkarish Post partum Depression kwa kawaida inakuwa ni wiki mbili ikizidi hapo inakuwa ni Major depression itabidi umuone Daktari wako haraka iwezekanavyo akupe tiba na ushauri wa kufanya au ikitokea moja kati ya dalili hizi hapa chini itabidi umuone pia Dakatari wako.shukran sana mzizimkavu.. i wish ningeisoma hii topic before sijaingia exam yangu, kuna question zilitoka kwenye exam hapa ndo nimekuta majibu yake.
namba kukuliza post partum depression umesema inakuwa kw 2 weeks, kma ikizidi hapo inakuwa normal depression or major depression?
@Latifaa Mwenyeezi Mungu akupe mtoto mwenye kheri na wewe inshallah.thank you mzizi mkavu! Niko njiani kupata mtoto somo zuri na limenifaa sana.
@gfsonwin Vipi Mwalimu wangu hujambo lakini?MziziMkavu asante sana kwa somo zuri.
gfsonwin Vipi Mwalimu wangu hujambo lakini?
@gfsonwin pole sana kwa hiyo unawasaidia wanangu ili waweze kupasi hiyo mitihani? Na mimi Mwangu yupo hapo chuo kikuu DAr anafanya Mitihani yake ya Semster ya IT. Wewe kwani upo mji gani Dar au Arusha?sijambo kabisa daktari wangi MziziMkavu. niliamka mapema kuandaa somo wanangu wanaanza mitihani ya mock tarehe 23/7 so chemia inanipeleka kwani nilikuwa maternity.
@gfsonwin pole sana kwa hiyo unawasaidia wanangu ili waweze kupasi hiyo mitihani? Na mimi Mwangu yupo hapo chuo kikuu DAr anafanya Mitihani yake ya Semster ya IT. Wewe kwani upo mji gani Dar au Arusha?
@gfsonwin Hanipi shida? unasema wewe mtoto wa miaka 25 si unajuwa vijana wa siku hizi kwa kupenda mambo ya ujana, kulewa,kuvuta sigara uvutaji wa bangi uvutaji wa madawa ya kulevya na mengineyo mengi tu.ndiyo nawasaidia wanangu manake wote wanaopitia kwangu huwa nawaita wanangu. nawapenda sana hawa vijana sijui kwanin. Mimi niko Dar of course. wewe mwenzangu umesha kuza huyo chuo wala hakupi shida
gfsonwin Hanipi shida? unasema wewe mtoto wa miaka 25 si unajuwa vijana wa siku hizi kwa kupenda mambo ya ujana, kulewa,kuvuta sigara uvutaji wa bangi uvutaji wa madawa ya kulevya na mengineyo mengi tu.
Na mimi sipo nae karibu napigizana nae kelele tukiwa kwenye chat ya Skype yeye huniambia baba mimi ninataka kuja kwako nipande ndege nampigia kelele upande ndege? soma umalize ndio waweza kupanda ndege nikiwa kwenye chat nae nakuwa
mkali kama nusu saa kisha nakuwa mchangafu namchekesha kama rafiki yangu si unajuwa ukiwa ana mtoto wa kiume anakuwa kama ni rafiki yako wa karibu baba yake ungelikuwa unajuwa mambo ya IT ungemsaidia mwanangu. Au sivyo bibie?
@gfsonwin Ninajitahidi ingawa nipo mbali na yeye na yeye mwanangu anakaa kwa mjomba wake si unajuwa mtoto wako akikaa kwa kaka yako atawezaunajua MziziMkavu, malezi ya ujana ni magumu sana, kuwa rafiki lakini pia uwe very strict usipende awe mzembe. Hawa ninaowafundisha ni vijana wa miaka 20-24 ni rafiki yao sana na huwa tnapendana na kuheshimiana sana lakin wakikosea nawalima mikwaju au hata kuwakaripia. But wako wazuri sana huwaga nawapasha livu hasa juu ya tabia za ujana manake wanaolala shule n vijana wa a level tu day ni o-level halafu kuna wadada wa o-level so yaani niko makini kwel na tabia zao za kiujana.
ila najiskia raha sana ninapoona wako vyuo wengine, na wengine wamemaliza degree dah! halafu bado wananiita mama ni raha sana kuliko hata ningelipwa milion halafu nikose hii heshima.
Ningekuwa najua ningemsaidia sana tu. si unajua tena mm na wewe?
@gfsonwin Ninajitahidi ingawa nipo mbali na yeye na yeye mwanangu anakaa kwa mjomba wake si unajuwa mtoto wako akikaa kwa kaka yako ataweza
kumuangalia kama unavyomuangalia wewe mwenyewe? Waswahili husema Fimbo ya mbali haiuwi nyoka mama yake ni mgonjwa wa moyo basi kazi ninayo mimi mjomba wake hamshughulikii chochote yeye humwambia tu mwanangu baba
yako si yupo ulaya? ndio atakaye kuangalia wewe mimi sina wakati, shemeji yangu ana matatizo na yeye huyo mjomba wake yaani shemeji yangu alikuwa Mwalimu kama wewe lakini amekwisha acha kufundisha kwa sababu ya uzee lakini wewe bado unafundisha ndio vizuri wachunge sana vijana ujana wao ni wa taabu tupu mitihani ya dunia ni mingi sana.
@gfsonwin Ni kweli uyasemayo anapenda sana kuangalia marafiki zake ni nini wanachofanya lakini ninashukuru Mungu haigi marafiki zake na pia anayo akili havuti,sigara wala hana ulevi wa ainakwa ulivyosema nimepata picha moja kuwa huenda mwanao akawa muhanga tabia za kuiga kwasababu ya kukosa uangalizi wa karibu. Lakini pia nikutie moyo dont look at what uncle is doing to his niece ila wewe mweleze maisha anayotafuta ni yakwake binafsi wala hataish na mtu so aki messup ameharibu yote aliyoyatafuta kwa bidii for 2 and a half decades. na akiwin hapa basi atavuna aivyovitunza kwa muda wote huo.
ukitaka kumueleza usimpe alternative soln katika maisha like usimwambie soma ukifeli nitakuchukua uje huku urudie, au tutafanya hivi. Mwambie kabisa ukeli kuwa akifeli ni basi so aamue moja kusuka au kunyoa.
pole sana ka kuugulliwa na bimkubwa Mungu ata muafu tu. mimi nafanya kazi ya kanisa tu hainaga malipo hii nasubiria kuurith uzima wa milele tu, manake hakuna return kwenye misha ya kuwa mwaalim kwa hapa kwetu. But sijutii sana kwangu ni poa tu.
@gfsonwin Ni kweli uyasemayo anapenda sana kuangalia marafiki zake ni nini wanachofanya lakini ninashukuru Mungu haigi marafiki zake na pia anayo akili havuti,sigara wala hana ulevi wa aina
yoyote ile iwe ulevi wa wanawake au pombe au madawa ya kulevya ninashukuru mimi huwa namwambia umeona Rais Obama alivyokuwa amejitahidi kusoma mpaka kawa Rais wa Amerika na Dunia nzima inamuangalia yeye Rais Obama.
Soma na wewe uwe kama Mzee Obama, ananiitikia sawa baba lakini kazi kweli ninayo kubwa sana. Huwa Mwanangu ananiambia kuwa Wenzake wakienda chuoni wakiwa Walimu wao hawapo Darasani Marafiki zake huwa wanafunguwa internet kwenye facebook
yeye huwa anajisomea masomo na ikifika kwenye mitihani wana feli hao wanaofunguwa Facebook wakiwa shuleni basi napata hope kidogo kuwa anayo akili ya kusoma ingawa nipo nae mbali Namuomba Mwenyeezi Mungu amsaidie si unajuwa elimu ndio ufunguo wa maisha ya binadamu.