Kujifungua

shukran sana mzizimkavu.. i wish ningeisoma hii topic before sijaingia exam yangu, kuna question zilitoka kwenye exam hapa ndo nimekuta majibu yake.
namba kukuliza post partum depression umesema inakuwa kw 2 weeks, kma ikizidi hapo inakuwa normal depression or major depression?

Pole sana.
 
mzizi mkavu atleast huyu anaelewa nini maana ya shule wewe mwombee tu ila naskitika maisha anayokulia siyo mazuri sana. Hakuna kitu ibaya kama ukose mtu unayemwamni kumwambia shida yako. but jitahd tu atatoka tu so far bado kijana mdogo kabisa.
@gfsonwin Asante sana naomba piana wewe dua zako my son yupo kwenye mitihani sana na mimi nipo natafuta maisha na kumsaidia yeye amepita mitihani mingi mpaka kufika hatua hiyo mimi

niliondoka nyumbani wakati my son alikuwa ni mdogo sana amelelewa na baba wa kambo huyo baba wa kambo alikuwa hata hamuangalii mwanangu mpaka baba wa kambo alipomfukuza mwanangu kwake ndipo alipo kwenda kwa mjomba wake yaani Story yake My Son ni

ndefu hatuwezi hata kumaliza humu. nikikuahadithia story yake unaweza kutunga kitabu cha hadithi lakini hicho kitabu kikawa True Story baba wake kambo alimfukuza mwanangu nyumbani kwake nilipo mpelekea mwanangu kipindi kile huko

kwenu simu za Nokia n95 zilipokuwa zinaingia baba wake wa kambo akakasirika kumuona mwanangu nahiyo simu ya nokia N95 na akamfukuza nyumbani kwake miaka 4 iliyopita na haikufika hata miezi 6 huyo Mzee baba wake wa kambo alipata ajali

ya gari karibu na Mororogo kuna sehemu wanapaita Gairo akafariki basi tangu huu mwaka 2008 yupo kwa mjomba wake mwanangu lakini mjomba nae anampa shule mwanangu ili apate akili Namuombea kila la kheri awe tu mvumilivu hula mbivu. asante sana kwa ushauri wako.
 
Asante sana mzizimkavu hii elimu nimeipenda sana maana wanawake wengi huwa wanapata matatizo mengi sana katika hali hii ya mimba mpaka kujifungua ninaiomani hata akina baba tunaweza pata nini cha kufanya kwa wake zetu haswa katika hili la afya ya uzazi na tabia zake. ubarikiwe sana
 
gfsonwin Asante sana naomba piana wewe dua zako my son yupo kwenye mitihani sana na mimi nipo natafuta maisha na kumsaidia yeye amepita mitihani mingi mpaka kufika hatua hiyo mimi

niliondoka nyumbani wakati my son alikuwa ni mdogo sana amelelewa na baba wa kambo huyo baba wa kambo alikuwa hata hamuangalii mwanangu mpaka baba wa kambo alipomfukuza mwanangu kwake ndipo alipo kwenda kwa mjomba wake yaani Story yake My Son ni

ndefu hatuwezi hata kumaliza humu. nikikuahadithia story yake unaweza kutunga kitabu cha hadithi lakini hicho kitabu kikawa True Story baba wake kambo alimfukuza mwanangu nyumbani kwake nilipo mpelekea mwanangu kipindi kile huko

kwenu simu za Nokia n95 zilipokuwa zinaingia baba wake wa kambo akakasirika kumuona mwanangu nahiyo simu ya nokia N95 na akamfukuza nyumbani kwake miaka 4 iliyopita na haikufika hata miezi 6 huyo Mzee baba wake wa kambo alipata ajali

ya gari karibu na Mororogo kuna sehemu wanapaita Gairo akafariki basi tangu huu mwaka 2008 yupo kwa mjomba wake mwanangu lakini mjomba nae anampa shule mwanangu ili apate akili Namuombea kila la kheri awe tu mvumilivu hula mbivu. asante sana kwa ushauri wako.

but MziziMkavu kweli nitamuombea sana tu na ukweli sikufichi ntakwenda kumtafuta pale chuoni najua nitampata tu ili pia niongee naye physically.

lakini rafiki hata wewe ulikosea sana pengine kwa kutokujua, ila liwe funzo kwa wababa wengine wote. siku zote unapozaa hata kama martenal divorcee anahaki ya kubaki na mtoto mzazi wa kiume yampasa sana kuonyesha kujali. Kwanini nasema hukujali? To me hakuna faida kama nitakuwa natafuta maisha wakati mwanangu anaish kama mtoto asiye na baba. Sawa labda ulikuwa masomoni but there were other alternatives. Ona sasa jinsi ambavyo mwanao atakuwa na chuki dhidi ya mume wa mama yake. Pia imagine shida alizopata huwez jua aliwaza nini, istoshe mimi huwaga nasema furaha ya siku nisiyokuwa na amani ni bora kuliko furaha ya siku amani ipo.

wewe ulijali nafsi yako kwa kiasi kikubwa na nafikiri ulijua money can buy anything kwa mwanao kitu ambacho hakikufanya na mpaka sasa bado nafsi inauma sana.

Ushauri kwa wababa wengine jamani watoto wa kulelewa na mzazi wa kike huwa wanateseka sana, si tu kimaisha hata kimaadili. watoto wa aina hii ni wahanga wa maisha ya dhiki yasiyokuwa na mtetezi, na pia ni wahanga wa maadili mabovu yasiyokuwa namsimamizi. wanawake wachache sana tena sana, ambao wanaweza kuachwa wakalea watoto katika maadili mema na mwishowe wakafanikiwa sana.

chunguza sana familia nyingi ambazo watoto wa kike wamezalia nyumbani pasi kuolewa wengi wao wanalelewa na mzazi wa kike, hata wanaopata mimba wakiwa wanafunzi nwengi ni wa mzazi mmoja tena wa kike. so inapotokea ishu ya divorce ni bora baba na mama watalikiana mkaliangalia hili kwa mapana sana.

sikusemi vibaya rafiki yanu but am there to assist, so sad and sorry fofr the boy.
 
Last edited by a moderator:

@gfsonwin Nenda chuo Kikuu cha Dares-Salaam upande wa University of Dar es Salaam Computing Centre Ltd - Home - Kamuulize kwa jina hili kassim saad kisha mpe salaam zangu mwambie MziziMkavu anakusalimia Mshauri mpe mawazo mpe hope huenda akakusikiliza mimi nakuwa mkali ingawa nipo mbali nitashukuru ikiwa kama utaonana nae asante sana Mwalimu wangu. web site yake ni hii hapa http://www.ucc.co.tz/
 
nashukuru sana kwa hili darasa ila naomba unisaidie juu y namna gani utaepuka kifafa cha kuzaa na mwanamke akipata kifafa cha kuzaa kinatibika hosp na kikiwa sugu inakuwa vp hapo mzizi
 
gfsonwin Pamoja na yote uliyoyasema lakini si unajuwa wanapotengana baba na mama,wanaoteseka wanakuwa ni watoto sasa kwa mfano wewe mume wako akikuacha na mtoto wa mika 4 au 5 je waweza kumpa baba watoto wako huyo mtoto mdogo ili alelewe na mama wa kambo? Nilipo muacha mama yake sikukaa muda mrefu nikasafiri nje ya nchi mpaka

hii leo mtoto wangu nimemuacha kwa mama yake better than nothing kuliko mimi ningemchukuwa kisha niwape Dada zangu wange mlea mwanangu lakini sio kama Mama yake anavyo mlea upo pamoja na mimi Mkuu gfsonwin? Waswahili

husema mtoto ni kwa mama sio kwa baba wakati wazazi wanapo tengana wanaopata shida ni watoto sio wazazi. Sina kosa si unajuwa kila lilio na mwanzo halikosi kuwa na mwisho ninashukuru amekuwa, Mwenyeezi Mungu amemkuza ingawa kapatikana na Mitihani ya hapa na pale ndio binadamu lazima upate mitihani ndio unakuwa na akili.
 
MziziMkavu kwanza naomba nikwambie sisemi haya kama ushabiki lahasha, ila ninayo experience ya watoto wengi sana ambao nimewafundisha wa aina hii na kwakua kwako limetokea sikulaumu japo nimekutanabahishia makosa yako. Nililenga zaid kwa wanaume wengine ambao wameoa au wataoa juu ya kudivorce yizama jinsi mwanao alivyo umizwa kimaisha na jinsi ambavyo wewe unaumia juu yake.

ngoja nikupe mfano niliwah kumfundisha mtoto mmoja alikuwa nuhanga wa ndoa zilizosambaratika akaangukia kwenye maisha ya baba wa kambo akateswa sana, huyu mtoto nimekutana naye akiwa a level mimi nikiwa ni mwalim wake wa darasa, niliogopa kwani alikuwa kila siku anakonda sana, tena hadi akapata oral thrush kwa immunity kushuka kisa mawazo na unyanyapaa alioupata.
Sikufich niliamua kumpeleka hosp kumtibia baada ya kuongea nae sana na kwenda hoosp dr akasema apimwa ukimwi alipimwa na alaikauwa -ve. sikumlaumu dr kwa kumpima kwani alikuwa kama muathirika vile. kisha dr akaniita akaniambia kijana hana tatizo lakiafya bali ni la kisaikolojia tu. ikabidi nikae naye chini ni mdadisi aliniambia ukweli wote.

Niliumia sana nikabidi niombe nikae nae niwe mzazi wake ili nimweze kumsaidia. namshukuru mungu yule kijana alifaulu vizuri sana na mpaka sasa yuko chuo hapo mlimani anasoma uhandisi.

so nkiwaza haya huwa naumia sana na nilijifunza sana juu ya athari za kutengana kwa wazazi juu ya watoto wao.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mzizimkavu hii elimu nimeipenda sana maana wanawake wengi huwa wanapata matatizo mengi sana katika hali hii ya mimba mpaka kujifungua ninaiomani hata akina baba tunaweza pata nini cha kufanya kwa wake zetu haswa katika hili la afya ya uzazi na tabia zake. ubarikiwe sana
Mkuu Mwanaweja Kitu muhimu haswa kwa sisi wanaume endapo mke wako ana mimba itabidi tuwahurumie wake zetu au mke wako na kuwasaidia kwa kila hali

haswa unapokuwa upo nyumbani siku za week end Jumamosi na jumapili tuwasaidie wake zetu kwa hali waliyokuwa nayo ya uja uzito mpaka watakapo jifunguwa salama si unajuwa Waswahili husema '' Ukitaka cha Uvunguni? sharti uiname''.

Ukitaka mke wako ajifunguwe salama itabidi umsaidie wakati anakuwa na mimba mpaka atakopo jifunguwa salam sio

kumuacha ateseke tu peke yake mtoto wa watu wewe ulie tia mimba unarudi kazini umelewa na kuwa mkali unamuuliza mke wako mama joisi

kiko wapi chakula unamuliza kwa ukali mke wako kama unamuuliza mwanao? Tuwe Wastaarabu kwa tabia wake zetu watatupenda naishia hapo.
 
MziziMkavu kwanza naomba nikwambie sisemi haya kama ushabiki lahasha, ila ninayo experience ya watoto wengi sana ambao nimewafundisha wa aina hii na kwakua kwako limetokea sikulaumu japo nimekutanabahishia makosa yako. Nililenga zaid kwa wanaume wengine ambao wameoa au wataoa juu ya kudivorce yizama jinsi mwanao alivyo umizwa kimaisha na jinsi ambavyo wewe unaumia juu yake.

ngoja nikupe mfano niliwah kumfundisha mtoto mmoja alikuwa nuhanga wa ndoa zilizosambaratika akaangukia kwenye maisha ya baba wa kambo akateswa sana, huyu mtoto nimekutana naye akiwa a level mimi nikiwa ni mwalim wake wa darasa, niliogopa kwani alikuwa kila siku anakonda sana, tena hadi akapata oral thrush kwa immunity kushuka kisa mawazo na unyanyapaa alioupata.
Sikufich niliamua kumpeleka hosp kumtibia baada ya kuongea nae sana na kwenda hoosp dr akasema apimwa ukimwi alipimwa na alaikauwa -ve. sikumlaumu dr kwa kumpima kwani alikuwa kama muathirika vile. kisha dr akaniita akaniambia kijana hana tatizo lakiafya bali ni la kisaikolojia tu. ikabidi nikae naye chini ni mdadisi aliniambia ukweli wote.

Niliumia sana nikabidi niombe nikae nae niwe mzazi wake ili nimweze kumsaidia. namshukuru mungu yule kijana alifaulu vizuri sana na mpaka sasa yuko chuo hapo mlimani anasoma uhandisi.

so nkiwaza haya huwa naumia sana na nilijifunza sana juu ya athari za kutengana kwa wazazi juu ya watoto wao.
@gfsonwin Asante sana mimi ninashukuru My son sasa ni mkubwa miaka 25 sio midogo kama hajajifunza shauri yake mimi tena nakimbilia Uzee miaka 48 na ushee sasa asipo angalia maisha yake sijuwi itakuwaje ndio maana nakuwa mkali kwake sitaki afanye wrong kwa masomo kwa ajili ya future yake ya baadae sio future yangu mimi ingawa anao wadogo zake 2 wote ni Majambazi i mean ni Wanaume watupu yeye itabidi awachunge wadogo zake hao kwa baba mwengine mimi ninapigana amalize masomo nijuwe kitu gani cha kufanya aendelee kupata Diploma au aje nje kupata Diploma? akifanya mchezo shauri yake mwenyewe si unajuwa wewe katika kila Wanafunzi 10 wanaojuwa kusoma na kuandika ni 8 wawili hawajuwi kusoma wala kuandika?

kipanya_22-01-2012_20120201_1268247019.jpg

Wanafunzi 5,000 waliofaulu hawajui kusoma, kuandika
Monday, 09 April 2012 20:42

Fredy Azzah
IMEBAINIKA kwamba wanafunzi 5,200 waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu, hawajui kusoma wala kuandika.

Kutokana na sababu hiyo, habari kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi zinasema kwamba wanafunzi hao wataachishwa masomo na Serikali inaangalia uwezekano wa kuchukua hatua za kisheria wanafunzi hao na wakuu wa shule wanazotoka ili kukomesha tatizo hilo.

chanzo ni Wanafunzi 5,000 waliofaulu hawajui kusoma, kuandika

Mkuu ninaogopa hivyo anavyosema Kipanya.

Thanks for this awesome article MziziMkavu. And pole for the pain ur son went thro in the hands of his stepdad. I was brought up by a step ma so I understand. Did you remarry? Are you considering marriage? Am asking out of curiosity. My zodiac sign is leo... So am a cat.... So curiosity is my second nature....:D:D
 
dah i thnk am faling 4 u..mzizi mkavu, ways thanx kwa maelezo yako ya kwanini nilichelewa hedh nimekunywa chai ya mdalisin aftr 2days mambo yakawa swafii.
 
@gfsonwin Hanipi shida? unasema wewe mtoto wa miaka 25 si unajuwa vijana wa siku hizi kwa kupenda mambo ya ujana, kulewa,kuvuta sigara uvutaji wa bangi uvutaji wa madawa ya kulevya na mengineyo mengi tu.

Na mimi sipo nae karibu napigizana nae kelele tukiwa kwenye chat ya Skype yeye huniambia baba mimi ninataka kuja kwako nipande ndege nampigia kelele upande ndege? soma umalize ndio waweza kupanda ndege nikiwa kwenye chat nae nakuwa

mkali kama nusu saa kisha nakuwa mchangafu namchekesha kama rafiki yangu si unajuwa ukiwa ana mtoto wa kiume anakuwa kama ni rafiki yako wa karibu baba yake ungelikuwa unajuwa mambo ya IT ungemsaidia mwanangu. Au sivyo bibie?

kumbe mi mwanao kabisa shikamoo baba
 
kumbe mi mwanao kabisa shikamoo baba
Marahaba mwanangu The secretary tumeshakuwa watu wazima eehhhh ningelikuwa Mwanangu ni mtoto wa kike basi hivi sasa mimi ninaitwa Babu kasheshe kweli lakini mwanangu ni dume la nyani mwaname kama mimi si unajuwa Mtoto wa kiume anachelewa kuzaa kuliko mtoto wa kike? ingawa mimi ninaitwa Babu kwa wajukuu wa dada zangu maana Dada zangu wote wamesha jukuu nimebaki mimi tu kupata mjukuu asante mwanangu wewe pia.
 
Back
Top Bottom