Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,111
- Thread starter
- #41
Kifafa cha kuzaa kikiwa ni sugu zipo dawa za kienyeji zinazotibu huo ugonjwa wa kifafa mgonjwa akienda kwa waganga wa kienyeji anaweza kutibiwa na kupona................... idetenashukuru sana kwa hili darasa ila naomba unisaidie juu y namna gani utaepuka kifafa cha kuzaa na mwanamke akipata kifafa cha kuzaa kinatibika hosp na kikiwa sugu inakuwa vp hapo mzizi