Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Usiende acha kukaza kichwa eti utamtegemea Mungu kwani wengine watamtegemea shetani. Nenda vyuo vingine kwanza uwezekano wa MUHAS kukuchagua ni mdogo.
Unajua kwanini vyuo huwa vinalimit intake ya kutoka diploma? Sababu ni hizo GPA zenu, na MUHAS ndio kabisa wanatoa nafasi chache zaidi kwa diploma
Na kuna mshkaj alipata gpa ya 4.6 lugalo hapa form four dv 3 na alipata muhas now anatarajia kuingia second year, na Mambo yanaenda vizur na mkopo alipata , ni mipango ya Mungu tu
 
Bora umenena mkuu

Hiyo kawaida mkuu kinachoangalia ni GPA nzuri na PASS 4 za O LEVEL bila kujali division mbona wapo wengi hapo MUHAS wenye Div 3 za O level na wana GPA za kutisha.
 
Hivi kwani sisi tumerogwa na nani yani mtu anakazanikia kusoma tena 5 years kwa gharama ya juu kabisa sio chini ya 3M kwa mwaka, alafu anawaza kuajiriwa !!!!

Mwaka huu ajira za kujitolea zimetoka kibao ambapo unalipwa nusu mshahara, watu wamejitokeza wengi sana.

Mfano Hospital ya Maweni kigoma walitoa ajira za kujitolea MD walihitajika 5 lakini maombi yalikuwa zaidi ya 30, tena apo ni kigoma na mshahara nusu.

Yani kama mtu anasoma ili apate ajira afanye tu mambo mengine labda baada ya hiyo miaka mitano ukawa mbali sana.

Kuliko kuchoma pesa nyingi na kupoteza muda afu baada ya hiyo miaka mitano hali ndio itakuwa mbaya sana kwenye ajira.
ndugu unasema miliona tatu? Bugando ada 5.9m,Kampala 6.7m na kuna vyuo ada zaidi ya hizo. Hapo bado kusoma ni miaka 5
 
Usiende acha kukaza kichwa eti utamtegemea Mungu kwani wengine watamtegemea shetani. Nenda vyuo vingine kwanza uwezekano wa MUHAS kukuchagua ni mdogo.
Unajua kwanini vyuo huwa vinalimit intake ya kutoka diploma? Sababu ni hizo GPA zenu, na MUHAS ndio kabisa wanatoa nafasi chache zaidi kwa diploma
Acheni kupotosha jmn....kama mtu ana gpa ya 5, probability ya kupata muhas ni kubwa kuliko vyuo vyote tz, sababu kutokea diploma, muhas wanachukua watu 20,udom watu 10 na udsm(mbeya) watu 08...mimi npo muhas mwaka wa pili huu na nmetokea diploma nikiwa na same gpa, na niliomba vyuo vingi tuu na vyote nilipata, udsm nlipata, kcmc,st Joseph ,muhas
 
Kaka,huyu anapata niamin mimi.....ww unasema tu wapo wengi wakat hata kuomba hapo muhas hujawah omba
Ajaribu mapema japo kweli kwa gpa yake probability inakua kubwa kupata lakini aombe na vyuo vingine vya public
 
Acheni kupotosha jmn....kama mtu ana gpa ya 5, probability ya kupata muhas ni kubwa kuliko vyuo vyote tz, sababu kutokea diploma, muhas wanachukua watu 20,udom watu 10 na udsm(mbeya) watu 08...mimi npo muhas mwaka wa pili huu na nmetokea diploma nikiwa na same gpa, na niliomba vyuo vingi tuu na vyote nilipata, udsm nlipata, kcmc,st Joseph ,muhas
Thank you so much🙏shukrani sana
 
ndugu unasema miliona tatu? Bugando ada 5.9m,Kampala 6.7m na kuna vyuo ada zaidi ya hizo. Hapo bado kusoma ni miaka 5
Hiyo ni minimum tu, hata hiyo 5M bado mambo mengine utakuta Kwa mwaka una unguza zaidi ya 8 M
 
Back
Top Bottom