Kujichubua kwa dada zetu (kuwa mweupe) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujichubua kwa dada zetu (kuwa mweupe)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmakonde, Jan 4, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Ukiangalia mikono na uso utajua kuwa huyu bibie anataka kuwa mwarabu zaidi kuliko mwafrika!Jamani kwa nini mabibie wetu wasiwe proud na rangi zao,kuliko kujichubua na kuwa na light skin?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Njomba Mmakonde,
  Alikukataa nini akamfuata huyu naniliu!, mbona unamsakama mwana wa mwenzio akiwa katika ndoa mbiiichi bado!..Unataka atemwe nini mzee uchukue?

  Anyway, tabia hii ya dada zetu imekuwa ndo fashen kwa sasa..!Lakini nasi wanaume tujiangalie, iam afraid that we men prefer the ladies with that artificial color!

  Lakini, in a nutshell, they are killing themselves slowly!
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jan 4, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hii tabia inatokana na wanaume wenyewe tumezidi kupenda wasichana weupe. Kwa hiyo nao wanajibadili ili kuwavutia zaidi wanaume.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu Katavi uko right kabisa, wanaume wengi mwanamke mweupe ana thamani zaidi ya mweusi, na utasikia jamaa anajitamba eti kama color demu kajaliwa mweupee, sasa hapo wakisikia wenzetu wanaona OK kumbe weupe ndo dili hahah na wao wanautafuta madukani
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kutokujikubali tu na umaskini wa fikira!!! (ila na wanaume nao wamo....Ben Kinyaiya)
   
 6. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Lakini si mnaona jinsi jamaa anavyomfurahia na kumwangalia bibie kwa macho ya mahaba????????.
   
 7. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mimi naona kama hiyo mikono imesheheni hina kiasi cha kuifanya ionekane myeusi. Bwana harusi mbona kama hana uhakika vile?
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kipenda roho ula nyama mbichi...
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  nahisi anamshangaa kwani anaonekana tofauti na alivyomzoea
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Taratibu JF inaelekea kuwa ze tamu. Yangu macho.
   
Loading...