Nitakuja bhana Hutaniwi na wewe?unataka kusemaje?,,
alaf wew sindo ulisema huwa hauna usingizi usiku nikasema nitakuita usiku wa manane ukawe unajichatisha mpaka upitiwe,,, enweiiii kama nimekosea am soreee sirudii nimekoma mimi win one nimekoma
hamna cha matani hapo bwana usikute ushaanza kuhisi nakutakaπ dadeq
hamna cha matani hapo bwana usikute ushaanza kuhisi nakutakaπ dadeq
haya kwaheri
kuanzia leo sisi sio marafikiπ kwanza hatujawahi kuwa marafiki sijui ilikuaje tukaanza kuquotianaππMatani tu Rafik Mm napenda sana kutania watu, ila nikitaniwa nalinda ego yangu
I see yah, I see yah, unataka tuanze kale ka mchezo, ka hard to get sio...kuanzia leo sisi sio marafikiπ kwanza hatujawahi kuwa marafiki sijui ilikuaje tukaanza kuquotianaππ
ndo ka mchezo kapi hako? hebu nifafanulieI see yah, I see yah, unataka tuanze kale ka mchezo, ka hard to get sio...
Mimi nakupendaa tu rafik, unichukie hio ni juu yakoo, (upendo is all we got)
50/50Unaamini katika dini au huamini?
ndo ka mchezo kapi hako? hebu nifafanulie
we nipende tu ila mi napenda zangu kamongo, we de Gunner nikuchukie do I know you?π π π ,, mi sijui kama upo seriou au unatania ila mi sijui kuweka vitu moyoni bro labda chuki uje nayo wew
umenambia napiga kelele? Yesu π€π mimi hapa eheeeeeeee una bahati upo mbali maan ungezitambua kelel zangu vizuri π€¨π€¨Sasa skia win-one mimi kama introvert nisiye na maneno mengi, natambua sisi ni marafiki, tena bond yetu ni kali sana, uliyakanyaga kuni befriend. Endelea kupiga kelele tuu. Kamongo kiachie kinywa na tumbo
Kwa nini hizo kelele usibadili kuwa voice note unitumie mrembooumenambia napiga kelele? Yesu π€π mimi hapa eheeeeeeee una bahati upo mbali maan ungezitambua kelel zangu vizuri π€¨π€¨
Hili ni suala ambalo mitazamo yake hutofautiana kulingana na dini, maadili, utamaduni na imani binafsi za kila mtu. Kwa upande wa dini nyingi, uzinifu hukatazwa waziwazi, huku baadhi ya madhehebu yakitofautiana kuhusu kujichua. Kwa watu wasiokuwa na msimamo wa kidini, mara nyingi jambo huangaliwa zaidi kwa misingi ya ridhaa, afya, usalama na athari kwa mhusika au wengine.Kujichua (Masturbation) vs Uzinifu
Je, mtu afanye nini anapozidiwa na hisia za kimapenzi?
Umewahi kusikia neno kujichua (masturbation)?
Watu wazima wa jinsia zote hujikuta wakikumbwa na hisia za kimapenzi ambazo kama hazitakidhiwa kupitia (mpenzi ,mume mke )
mtu anaweza kujikuta akihangaika hadi kufikia kujichua
Hali hii mara nyingi huwapata zaidi watu wasio na wenza, (Single)au
wale ambao wenza wao wako mbali, au wale ambao hawatoshelezwi kimapenzi ndani ya mahusiano yao au ndoa zao
Kwa upande mwingine, watu walio kwenye ndoa zenye utulivu mara nyingi hali hii haiwakuti sana kama mahusiano yao yapo sawa
(na kwanini mtu una mke&mme ufanye hayo )
Swali langu lipo hapa kwa wale ambao tayali wanajua ladha ya mapenzi ila kwa wakatii huo hawana mtu wa halali(ndoa)
Hii ni kwa mkutadha wa dini
Sasa najiuliza, kwa wale wanaoamini dini mbalimbali
vitabu vitakatifu vinasisitiza kujizuia na pia kukataza uzinifu
Kwa mfano:
Qurβan:
Inasisitiza kujilinda na kudhibiti tupu
Na wale wanaolinda tupu zao, isipokuwa kwa wake zao au iliyo mikono yao ya kuume (Al-Muβminun 23:5β7)
Biblia:
Inakataza uasherati na inasisitiza kujiepusha na tamaa za mwili
Epukeni uasheratiβ¦(1 Wakorintho 6:18)
Hapo tunaona vitabu vyote vinaweka mkazo juu ya mambo ya mapenzi yasio halali (ndoa)
Sasa swali linabaki:
Kama uzinifu ni katazo, na pia kujichua kwa baadhi ya mitazamo ya kidini huonekana si sahihi, basi mtu ambaye hana ndoa afanye nini anapozidiwa na hisia za kimapenzi?
Je, bora uzinifu au kujichua?
Hapa jukwaani kuna wale wasiofungamana na dini yaani hawaanimi hivi vitabu 2
Tusiwaache nyuma wasioamini katika dini pia
je nyie mnaonaje hili swala? Au kwenu hakuna mwiko kabisa kwenye jambo hili?
Wadau, tujadiliane kwa heshima bila kubezana maana hii ni hali inayowagusa watu wengi ila haizungumzwi waziwazi
Yanachukuliwa kama mambo ya aibu ila watu wanafanya mafichoni
Mnaonaje nyie?
ShesRise_1 βοΈ
Blue Monday π
kwanz nimepiga kelele sa ngapi? hivi mtu anaweza kupiga kelele kwa maneno,, na kwanini nipige kelele,,Kwa nini hizo kelele usibadili kuwa voice note unitumie mremboo
Unapiga kelele kwa sababu chini kumenoga.kwanz nimepiga kelele sa ngapi? hivi mtu anaweza kupiga kelele kwa maneno,, na kwanini nipige kelele,,
kandaga lyazaπ
babu acha ufwala,, umepaona palivyo noga ujue una utani wa ngumiUnapiga kelele kwa sababu chini kumenoga.
Umeanza kilugha mwanike? Nini hiyoo
Haina haja ya kuona, tunatazama matendo ka Bonny Mwaitegebabu acha ufwala,, umepaona palivyo noga ujue una utani wa ngumi
kagugo maan yake