Kujichua Vs Uzinifu πŸ€”

Nimeifurahia sana comment yako, yaani ulimwengu ulivyo mkubwa namna hii Mungu aje adili na mmatumbi mmoja nae piga nyeto huko vijijini ndani ndani huko.

Tunaambiwa dunia na ukubwa wote huu inaingia kwenye jua mara milioni kadhaa, kwa hio jua ni kubwa sana .
Wakati huo huo jua ni kanyota kadogo dogo tena kachanga kwenye ukoo wao.

Huo ukoo wa nyota ya jua na wenyewe ni ukoo mdogo mno kwenye jamii yao.

Na hio jamii zipo mamilioni nyingine ni kubwa zisizo elezeka.

Kwa hio ukianzia huko mpaka uje umkute tena yule mmatumbi kule tanzania ndipo unapoona binadamu katika ulimwengu si chochote si lolote, ni vile tu amejipa umuhimu asio kuwa nao katika ulimwengu.
 
Yaani hapa hata sielewe unaongelea nini hasa
 
Kwa wanaume, achana na masturbation, u are depriving your manhood and masculinity unecessarily!

Tafuta mtu wako 1 tulia naye, kama unaoa basi oa utulie kwenye mji wako.

Siku hizi dunia ina mambo mengi sana, ukirukaruka tunakuzika sasa hivii.
Best reply ever πŸ“ŒπŸ”₯
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…