Kujichua kwa Wanawake

Kujichua kwa Wanawake

kumbe kuna siri kubwa hvyo! Huo mchezo mchafu wa nn?? Kweli kaz ipo kukirudisha hiki kizaz kwenye usalama wa papuchi zao...... Hvi ni kweli bf wako hakuridhishi mpaka ufikie hatua hyo?? Binafsi nakuwa kama siamin flani

Sio swala la kuridhishwa tu japo nalo linahusu ila sometym u need to be single au uko mbali na mpenzi wako je nikishiwa what can I do?

Niende barabarani kutafuta mwanume wa kuni do? It is not possible natafuta njia mbadala itakayonifanya niwe satisfied.
 
Most of women 90% wamepitia mchezo huu kuna walioweza kuacha na wanaoendelea mi nawachora tu wanaojidai kukataa huku ndani ya nafsi zao zikiwasuta
 
Sio swala la kuridhishwa tu japo nalo linahusu ila sometym u need to be single au uko mbali na mpenzi wako je nikishiwa what can I do?

Niende barabarani kutafuta mwanume wa kuni do? It is not possible natafuta njia mbadala itakayonifanya niwe satisfied.

bora umekuwa mkweli....... Kuna wenzako wanaruka kama hawaujui
 
Umeona eeeh tena wengi mida ile unayokuta wamejilaza ndipo huanza kujichezea chezea sina uhakika kama huwa wamepanga wakapige punyeto ama laaah!

Binaadamu kushikwa na nyege ni jambo la kawaida sana na kujichua ndiyo dawa pekee kama mpenzi wako yupo mbali nawe ama kama huko single. Nani hapa JF ambaye hajichui anyoshe kidole tumpigie makofi.
 
Binaadamu kushikwa na nyege ni jambo la kawaida sana na kujichua ndiyo dawa pekee kama mpenzi wako yupo mbali nawe ama kama huko single. Nani hapa JF ambaye hajichui anyoshe kidole tumpigie makofi.

hata ww ni mmoja wao?
 
Mwanamke wangu anatoka utoko mara moja moja sana, ila haunuki huwa unawasha jee nini tatizo?

Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia…….wakati mwingine mtu unashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mapaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.

Kujichua au kujichezea ni njia pekee ya kujifunza kufika kileleni, kuujua na kuuelewa mwili wako na kujua utamu wa ngono ukoje(incase hujui utamu huo ukoje). Kwa kujichua utajua jinsi kutoa na kupokea raha ya kufanya mapenzi na mpenzi wako, utasaidia ngozi yako kuwa nzuri na laini (mambo ya Urembo hayo) na vilevile utajua jinsi ya kuzuia (kuchelewa kwa makusudi kufikia mshindo) au kumsubiri mwenzio ili mfike pamoja, hakuna raha ya kufanya mapenzi kama kufika kwa wakati mmoja.

Faida za kujichua/chezea:-
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanyamapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3)Kujua “vipele vyako viliko”.
4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.

*Kama kuna faida nyingine unaijua basi si mbaya kama utachangia hapa.

Madhara ya kujichua/chezea:-
1)Sijawahi kushuhudia wala kusikia tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.

2)Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea “dubwana” hizo, kifo kutokana na “shock” ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha “dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo” kuingia.

Ikiwa kuna madhara mengine unayajua kuhusiana basi ni vema ukachangia hapa

Tchaooooo
 
Binaadamu kushikwa na nyege ni jambo la kawaida sana na kujichua ndiyo dawa pekee kama mpenzi wako yupo mbali nawe ama kama huko single. Nani hapa JF ambaye hajichui anyoshe kidole tumpigie makofi.

yLBe8Qq.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom