Kujichanganya kwa serikali ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujichanganya kwa serikali ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ng'wandu, Feb 20, 2012.

 1. n

  ng'wandu JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 333
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naomba tukumbushane kujichanganya na kujikanyaga kwa watendaji wa serikali ya ccm ili hatimaye tuone kama kweli kuna haja ya kuendelea kuwa na serikali hii au tuitupe nje:

  1. DCI Manumba kusema Mwakyembe hajalishwa sumu halafu waziri wa Afya anaikana ripoti hiyo

  2. Spika wa mbunge kusema rais ameshasaini ongezeko la posho kwa wabunge halafu ofisi ya rais ikakana hilo

  3.

  4.
   
 2. t

  tenende JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Malizia Mkuu:
  3. Katibu wa bunge: hatujaanza kulipa posho mpya;
  4. Ikulu: Rais hajasaini.
  5. Pinda: Hakuna sababu nzito za kumfukuza katibu mkuu na wenzake;
  6. Pinda huyo huyo, mwezi huo huo: tumemsimamisha Kazi Blandina Nyoni. n.k.
  Hizi zote ni BANGI tu!
   
 3. t

  tenende JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wazee wa siku 100 mko wapi? Hazijatimia hizo siku 100? au ulikuwa mkwara?
   
 4. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jairo kusimamishwa then kurudishwa, then kufukuzwa.
   
 5. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe wasema wanachichanga!! wenzio ndio style yao ya uongozi!!!
   
 6. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  'Siwafahamu wamiliki wa Richmond' - JK

  'Mwneyekiti kumbuka nilikuwa nakushirikisha, ama nilikuwa napata maelekezo kutoka kwako kila hatua ya Richmond. Kuna wakati nilitaka kuvunja mkataba lakini ukanikatalia kwa kusema unasikiliza maoni ya makatibu wakuu' EL

  'Ukiwafunga mafisadi uchumi utayumba' MP

  'Mafisadi woote lazima wafukuzwe kwenye chama' NN
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nyie ndio mnaojichanganya.
  hiyo ndiyo ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya chini ya utawala bora ukiakisi kilimo kwanza chini ya sekretariet ya tumethubutu tumeweza na tunasonga mbele.
   
Loading...