Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,350
naaam!!na unatakiwa kutabasamu!Mkwe hata akijamba mbele yako hupaswi kuziba pua
Kuna wakati mtu anajikuta anajibizana vibaya na wakwe kwa sababu mbalimbali. Wanaweza kuwa ni wazazi wa mwenza wako au shemeji na wifi zako. Jamii zetu zinatilia mkazo sana heshima kwa wakwe lakini wakati mwingine vikizidi ni mno. Wanaweza kuleta mawazo ya jinsi ya kusimamia nyumba yako ambayo kwa kweli yanapakana na matusi....umeweza kusurvive au ndoa ikaletwa matatani sababu ya wakwe?
Unashauri wenye matatizo na wakwe wafanye nini?

Du na mtoto wao wachukue, hana umuhimu wowote ntapata mwingineMkwe hata akijamba mbele yako hupaswi kuziba pua
Aisee....poleni sana naona mnafurahishana hapa. Ninao maoni tofauti sana, labda mimi sikulelewa vizuri lakini niliwahi kumwambia msimamo wangu Mama Mkwe na akatafsiri kuwa nimemtukana. Tuliishi mwaka mmoja tukiwa katika hali ya kutosogeleana sana. Nimekutanma na jamaa zangu zaidi ya wanne waliowahi jibizana na Wakwe. Kuna wazazi stubborn jamani msipime....Labda mimi na wenzangu hao wanne hatukulelewa vizuri, lakini nani hapa anaweza kuvumilia Mama Mkwe anayethubutu kukulaumu kwanini huachi hela ya kutosha nyumbani kwako wakati Mkeo kajifungua...Unaacha pesa kiasi fulani jioni ukirudi Mama Mkwe anakwambia uliacha pesa kidogo na baada ya siku 2 anakutaka umruhusu binti yake asafiri kwenda kwake Mkoani eti mpaka miezi kadhaa...Hiyo imemtokea rafiki yangu na akampa live kwamba "Mama umevuka mipaka". Siku ya kutafuta suluhu Mkweo anadai faini ya karibu shilingi milioni moja, lol!
Ni hivi umeacha pesa Mkeo kajifungua tena ana siku 10 hivi. Mama mkwe yupo nyumbani kwako halafu wewe ukienda job huku nyuma ni darasa kwa binti yake, "haiwezekani akawa anakuachia pesa ndogo namna hii"...Jioni ukirudi unamsalimia M'mkwe hakujibu, siku ya pili anaamua kukupa live....hebu mruhusu mtoto wangu nikamuuguze kwangu...hebu niambie utakuwa na ujasiri wa kukaa kimya? @ BADILI TABIA. Baada ya wiki mbili Mama anadai fidia ya shilingi miliioni moja kwamba ametukanwa...huyo mkwe anayedai milioni mzima kweli? Mweeeeeeeh ila hapo walibishana au walizungumza? Inawezekana mie sikumuelewa mleta mada, nilijua kupandishiana kisawasawa na mkwe......