Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,782
- 239,460
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kufanya mahojiano maalum na mchezaji wa simba aitwaye Joji Lukas , pamoja na ukweli kwamba mchezaji huyu hakuwa maarufu sana lakini alikuwa ni muhimu sana , hasa kwenye kuokoa jahazi lililozama , yaani kwenye kufunga magoli muhimu ya timu yake .
Tuliongea mengi lakini kuna moja lililonigusa sana !
Alisema hivi , " MPIRA NI SAWA NA BAISKELI , UKIUJUA UMEUJUA " mwisho wa kunukuu .
Kiukweli ukiziangalia timu hizi mbili zilizoingia fainali bila kuweka jicho la husda utagundua kwamba Atletico wanaujua mpira kuliko Real , hivyo ni lazima wabebe ndoo .
.......Itaendelea .......