CPH New Member Joined Feb 14, 2019 Posts 3 Reaction score 3 Apr 14, 2021 #1 Ukihitimu Chuo serikali inasisitiza Vijana tujiajiri. Unaamua ujiajiri wakati unasubiri kuajiriwa. Haya ajira zinakuja. Serikal hiyo hiyo inasema kipaumbele kwa waliokuwa wanajitolea So Kujitolea ni kujiajiri?
Ukihitimu Chuo serikali inasisitiza Vijana tujiajiri. Unaamua ujiajiri wakati unasubiri kuajiriwa. Haya ajira zinakuja. Serikal hiyo hiyo inasema kipaumbele kwa waliokuwa wanajitolea So Kujitolea ni kujiajiri?