BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,216
- 1,283
Najua fika kuwa kwa ujenzi standard hiyo hela haitoshi ila akiamua kuskip baadhi ya mambo inaweza fika mahali.Hajasema anataka.
Ameomba ushauri km milioni 3 inatosha?
Najua fika kuwa kwa ujenzi standard hiyo hela haitoshi ila akiamua kuskip baadhi ya mambo inaweza fika mahali.Hajasema anataka.
Ameomba ushauri km milioni 3 inatosha?
Sasa ndo tunaishi kama mashetaniAcha tu dada,nilienda kununua jamaa akantajia hiyo bei nilichoka,sikuwa na jinsi.ilibidi tu nichukue.
Kujenga now mambo yanazidi kuwa magumu sana
Hakuna pa kukimbilia,inabidi tukomae tu aisee,yatakwishaSasa ndo tunaishi kama mashetani