katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,167
Ili mradi tunaenjoy maisha dadake hamna tabu hapoHahahaaaha spelling error... Aya masimu yanatuàibisha
Ili mradi tunaenjoy maisha dadake hamna tabu hapoHahahaaaha spelling error... Aya masimu yanatuàibisha
Onana tu na wataalamu wakushauriWadau habari za humu ,nina milion tatu na nusu dodoma mjini nahitaji kujenga chumba na sebule ,je itatosha
Choo nie ,chumba cha kawaidw tuUnaweza inategemea unataka kujenga vipi? Chumba na choo au vipi? Fafanua
Vipi tukipiga chini mkandaMilioni tatu haitoshi Mkuu.tofari ya inchi 5 tufanye buku japo ni elfu 200 kwa tofari elfu 1 ni milioni.Fundi laki 5 nondo za mkanda cement Mbao mabati haitoshi Mkuu kwa ushauri nyanyua mpaka kwenye linta iache ili ujipange tena
Tahadhari kiwanja kimepimwa? akiingiliani na miradi ya serikali/umma ? maana kuna desturi ya kujenga katika maeneo yetu ya asili ata kama ni mjini.Kama vigezo vipo kamili utaweza kujenga chumba na sebule(low quality) bila kupiga plasta nje na ndani Ila itakubidi umbembeleze fundi kitu kitachopelekea kupata mshika kijiko asiyejali vipimo,kama ni kwa ajili ya Ku survive ni sawa maana hali ni tete huwa hawakatai kazi ila baadae utajilaumuWadau habari za humu ,nina milion tatu na nusu dodoma mjini nahitaji kujenga chumba na sebule ,je itatosha
Huo mfuko ni wa Dangote au nani? Kwa kuwa unafanya kazi hapo nadhani ulinunua na Sukari kwa ajili ya maswala ya Chai ukaona hali ilivyo tete..Nimenunua mfuko wa cement Leo asubuhi 15000 acha tu
Mmh mambo yanazidi kubana.... Mfuko ulikuwaga elfu kumi na mojaNimenunua mfuko wa cement Leo asubuhi 15000 acha tu
Daah kumbe Fundi wangu anataka kunipiga eti anataka 1M kujenga msingi tu tena kiwanja chenyewe flat kabisa nyumba ya vyumba 3 sebule,study room jiko na dinning....Haitoshi Mkuu.
Tofali elfu 1=1,000,000
Cement 20. 300,000
Fundi. 600,000
Nondo
Mchanga
Kokoto
Mbao za kupaua
Bati
Nashindwa kuendelea ila jipange taratibu Mkuu.
Huwezi kumaliza ila jitahidi
Inatosha na kubaki kiasi fulani. Bati bando 2 ( (6laki) Tofari 1000 (1m) , Mbao , cement na Mchanga lorry 2, hizo ni ziada ndogo . kwa uchumu wa 3m, jenga wewe mwenyewe achana na mafundi.Wadau habari za humu ,nina milion tatu na nusu dodoma mjini nahitaji kujenga chumba na sebule ,je itatosha
Kwanza hongera kwa kudhubutuWadau habari za humu ,nina milion tatu na nusu dodoma mjini nahitaji kujenga chumba na sebule ,je itatosha
Lete kaziDaah kumbe Fundi wangu anataka kunipiga eti anataka 1M kujenga msingi tu tena kiwanja chenyewe flat kabisa nyumba ya vyumba 3 sebule,study room jiko na dinning....
😱.kwa uchumu wa 3m, jenga wewe mwenyewe achana na mafundi.
Milango anunue used elf 60 mmojaKwanza hongera kwa kudhubutu
Kama unamaanisha chumba na sebule bila jiko, stoo wa Dining
Inawezekana
Hesabu itakua kama Ifuatavyo.
1.Utahitaji Tofali 700
Tumia tofali za Nchi 5
Kuzipata Tofali hizi
Nunua Cement Mifuko 18
=15,000x18=270,000
Nunua Mchani gari kubwa maarufu kama Mengi sh. 170,000
Baada ya hapo waie watu wakutengenezee Tofali
Bei yakufyatulia tofali mfuko mmoja ni sh. 4,000 (kwa Dodoma)
Kumbuka Kua mashine na vibao ni juu yao
So kwa mifuko yako 18x4,000 Itakua sh. 72,000
**Mpaka hapa umeshatumia jumla sh. 512,000
Sasa Tuendelee
Muite Fundi kisha Mkubaliane kuchimba msingi peke yake ambapo Makadilio ya Juu ni sh. 100,000 (Gharama hii ni pamoja na kumwaga mchanga kwenye msingi)
Baada ya hapo Anza Ujenzi ambapo Gharama ya Fundi kujenga Boma lote ni sh. 300,000
Utahitaji mchanga kwa ajili ya kujengea
Nunua gari kubwa sh. 170,000
Nunua cement yakujengea mifuko 16
=15,000x16=240,000
***Mpaka hapa utakua umetumia sh.
1,322,000
Tuendelee
Utakua unadaiwa nondo Za Linta pamoja na mkanda wa chini
Zinatakiwa nondo 10
=10x22,000=220,000
Inatakiwa zege nunua lakawaida tu sh. 100,000
Maji weka sh. 70,000
Ring na usafiri sh. 30,000
Mbao zakukodi kwa ajili ya Linta
Sh. 60,000
Mpaka hatua hii gharama zote ni sh.
1,802,000.
Tumeingia hatua yakupaua
Mbao za 4x2 Pc 25x9,000=225,000
Mbao za 2x2 Pc 30x4500=135,000
Misumali sh. 36,000
Fundi kupaua sh. 170,000
Bati 20x22,000=440,000
Misumali ya bati sh. 50,000
Waya wa Kenchi sh. 10,000
Mpaka hapa gharama zote ni sh.
2,868,000
Tunaendelea
Mlango wa mbao sh. 330,000
Madirisha manne sh. 400,000
Naomba kuwasilisha
Kwa Ushauri zaidi 0652 881 000/0684 239106
Nipo Dar es salaam.
Kiukweli watu km nyinyi mnahitajika sanaa. Kama ana lengo hilo natumai umempa moyo sana.Kwanza hongera kwa kudhubutu
Kama unamaanisha chumba na sebule bila jiko, stoo wa Dining
Inawezekana
Hesabu itakua kama Ifuatavyo.
1.Utahitaji Tofali 700
Tumia tofali za Nchi 5
Kuzipata Tofali hizi
Nunua Cement Mifuko 18
=15,000x18=270,000
Nunua Mchani gari kubwa maarufu kama Mengi sh. 170,000
Baada ya hapo waie watu wakutengenezee Tofali
Bei yakufyatulia tofali mfuko mmoja ni sh. 4,000 (kwa Dodoma)
Kumbuka Kua mashine na vibao ni juu yao
So kwa mifuko yako 18x4,000 Itakua sh. 72,000
**Mpaka hapa umeshatumia jumla sh. 512,000
Sasa Tuendelee
Muite Fundi kisha Mkubaliane kuchimba msingi peke yake ambapo Makadilio ya Juu ni sh. 100,000 (Gharama hii ni pamoja na kumwaga mchanga kwenye msingi)
Baada ya hapo Anza Ujenzi ambapo Gharama ya Fundi kujenga Boma lote ni sh. 300,000
Utahitaji mchanga kwa ajili ya kujengea
Nunua gari kubwa sh. 170,000
Nunua cement yakujengea mifuko 16
=15,000x16=240,000
***Mpaka hapa utakua umetumia sh.
1,322,000
Tuendelee
Utakua unadaiwa nondo Za Linta pamoja na mkanda wa chini
Zinatakiwa nondo 10
=10x22,000=220,000
Inatakiwa zege nunua lakawaida tu sh. 100,000
Maji weka sh. 70,000
Ring na usafiri sh. 30,000
Mbao zakukodi kwa ajili ya Linta
Sh. 60,000
Mpaka hatua hii gharama zote ni sh.
1,802,000.
Tumeingia hatua yakupaua
Mbao za 4x2 Pc 25x9,000=225,000
Mbao za 2x2 Pc 30x4500=135,000
Misumali sh. 36,000
Fundi kupaua sh. 170,000
Bati 20x22,000=440,000
Misumali ya bati sh. 50,000
Waya wa Kenchi sh. 10,000
Mpaka hapa gharama zote ni sh.
2,868,000
Tunaendelea
Mlango wa mbao sh. 330,000
Madirisha manne sh. 400,000
Naomba kuwasilisha
Kwa Ushauri zaidi 0652 881 000/0684 239106
Nipo Dar es salaam.
Tuko pamoja mdau.Kiukweli watu km nyinyi mnahitajika sanaa. Kama ana lengo hilo natumai umempa moyo sana.