Kujenga Apartments

Kuna nyumba ya wapangaji ipo buguruni kwa sasa ina wapangajo 15 inauzwa m100 kama unahitaji kuwekeza
 
Mimi nina kiwanja kina m² 405 mbezi beach natafuta funds mtoa mada ana funds mwenzangu ana funds anatafuta eneo
 
Njoo boko kuna viwanja vizuri na eneo ukimaliza tu wateja kama wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…