Kujamiiana wakati wa ujauzito

mtambuzi hakuna kitu kama hicho ulichokisema ..hakunaga kabisa....mfumo wa chakula na hewa ndani ya mtoto aliye tumboni haupatwi na madhara wakati wa tendo la ndoa ....hankuna mkuu....kufanya mapenzi wakati wa ujauzito (parizi) ni muhimu sana ila kama mama mjamzito ana matatizo unashauriwa usifanye
 
Lazima ujamiane na mwenzio mjamzito maana unasaidia kupanua njia ya mtoto kutoka

Hiyo sio kweli njia inapanuka yenyewe kwa sababu tangu mimba inapotunga mwili wote unajiandaa kuitunza mimba na kuiandalia njia ya mtoto kupita wkati wa kuzaliwa; kujamiiana hakuongezi njia. Nikuulize kwani ukubwa wa mtoto na anayepita kwenye uke unaulinganishaje na kiungo cha uzazi cha kiume? hiyo ni sawa na kulinagisha ufito na gogo.

Cha muhimu ni kukuza mahusiano mke na mume ili mtoto ahisi ile furaha na uhusiano mwema wanaokuwa nao wazazi wake wakati akiwa mimba. Ila jambo la muhimu ni afya ya mama kama anajisikia vizuri na kuweza kuhimili mikikimikiki ya tendo hilo. Vinginevyo mnaweza kushiriki tendo mchana na mama akajifungua jioni wala haina athari yoyote kwa mama wala mtoto
 
Swadakta....kwa maelezo ya kitaalam unatakiwa kuendelea na tendo mpaka siku ya uchungu wa mama, kwani kwa kufanya hivyo unamsaidia mamaa kujifungua kwa urahisi, kwani shahawa kwa kawaida ina vinasaba au kemikali kinzani ambazo huipanua na kuiacha wazi mma kemikali ambazo kama mama akishindwa kujifungua hulazimika kupewa maji ya uchungu ambayo yana kemikali sawasawa na zile zinazopatikana katika shahawa....................



hivyo tendo ni kama kawaida.........
 
Acha uongo mimi binafsi nilikuwa nafanya tende la ndoa na mke wangu na hakuwa akipata shida yoyote mpaka ile siku anaenda kujifungua tulifanya tende la ndoa na mchana nikampeleka hosp. Na akajifungua vizuri na salama kwa nia ya kawaida tena haraka na mtoto mwenye afya nzuri na mtoto anaendela vyema

kujamiiana wakati wa ujauzito kuna madhara kwa mtoto aliye tumboni................ Najua wapenda ngono watanibishia, lakini huo ndio ukweli wenyewe.
Ikumbukwe kwamba mtoto aliye tumboni hutumia pumzi ya mama, hivyo basi wakati tendo la ndoa linapofanyika na mama anapotaka kufika kileleni kunakuwa namabadiiko makubwa ya pumzi na hiyo humsababisha mtoto kuhangaika kule tumboni. Inaelezwa kwamba wakati mwingine husababisha kifo cha mtoti tumboni...............

Wanawake wanalazimika kufanya tendo hilo wakati wa ujauzito kwa sababu ya kulinda ndoa zao, wanawajua waume zao wakikosa tendo kwa muda mrefu, watadesa nje......................
 
unaweza ukajikuta mapumziko yanakuwa ya muda mrefu na kupelekea kupoteza mpenzi/mume kabisa. We endelea kumpa tu la muhimu hapo ni kwamba missionary style should be foregone for sometime
mbona kizungulukuti!! Nimpe nisimpe ????
 
Kujamiiana wakati wa ujauzito kuna madhara kwa mtoto aliye tumboni................ najua wapenda ngono watanibishia, lakini huo ndio ukweli wenyewe.
Ikumbukwe kwamba mtoto aliye tumboni hutumia pumzi ya mama, hivyo basi wakati tendo la ndoa linapofanyika na mama anapotaka kufika kileleni kunakuwa namabadiiko makubwa ya pumzi na hiyo humsababisha mtoto kuhangaika kule tumboni. inaelezwa kwamba wakati mwingine husababisha kifo cha mtoti tumboni...............

Wanawake wanalazimika kufanya tendo hilo wakati wa ujauzito kwa sababu ya kulinda ndoa zao, wanawajua waume zao wakikosa tendo kwa muda mrefu, watadesa nje......................

Mtambuzi yakweli hayo....?
 
Mpe bwana, yanini kujibanabana kisa ujauzito, kuna stahili kibao za kukufanya wewe feis buku uinjoy sex bila kuchoka wala kumnyima mtoto pumzi tumboni (kwa maoni ya mtambuzi) so kwa raha zenu, u & ur hubby

mbona kizungulukuti!! Nimpe nisimpe ????
 
Back
Top Bottom