gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,716
kimsingi hakuna tatizo ila japo kuwa uwezekano wa kuambukizana magonjwa ya ngono ni mkubwa zaid wakati wa hedi na hii ni kwa mwanamke. kama mume ni mwaminifu basi wala sio tatizo.Binafsi nilikosa ushahuri wa kumpatia huyu Dada imeniuma sana nikaona nililete jamvini wajuzi wamjuze, uamuzi aliokuwa nao hadi sasa ni kwenda kwa mamamkwe kushtakia mumewe.
Binafsi ninaona hata kinyaa kumwalia huyu baba kwani ninamfahamu, hainiingi akilini kuvumilia siku 3 or 4 or 5 mkeo awemsafi inawashinda nn nyie wanaume sasa mke akikifungua itakuaje poo na hv hawajajaliwa mtoto au ndoa mpya ndio zinavyo kuwa sie tulioolewa zamani vya digital hatuviziwezi
sio uchawi kama walivyosema wengine wala hakuna magonjwa ya shipa sijui.............
kama mke hajiskii hamu ya kubiduka basi mumewe humbaka na hili sasa ni kosa lkn kama mke mwenyewe anahamu basi ruksa ajiswafi vizuri kisha atoe dozi akimaliza ajiswafi na kujistiri.