Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,080 Reaction score 136,559 Mar 4, 2010 #1 Hivi wanyama kama ng'ombe, mbuzi, mbwa, kuku, nk. nao hujamba kama binadamu?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,080 Reaction score 136,559 Mar 4, 2010 Thread starter #2 Lol...hii mbona mmeihamishia huku? Kwani kuna ma Veterinarian huku?
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Mar 4, 2010 #3 Animalia wote wanajamba. Lakini ndege, wadudu na wengineo hawajambi.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Mar 4, 2010 #4 Nyani Ngabu said: Lol...hii mbona mmeihamishia huku? Kwani kuna ma Veterinarian huku? Click to expand... ha ha...kwani ulikuwa umeiweka wapi? anyway kuhusu swali lako mimi najua kuhusu mbwa...huwa anafanya kama sisi...
Nyani Ngabu said: Lol...hii mbona mmeihamishia huku? Kwani kuna ma Veterinarian huku? Click to expand... ha ha...kwani ulikuwa umeiweka wapi? anyway kuhusu swali lako mimi najua kuhusu mbwa...huwa anafanya kama sisi...
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,080 Reaction score 136,559 Mar 4, 2010 Thread starter #5 Preta said: ha ha...kwani ulikuwa umeiweka wapi? anyway kuhusu swali lako mimi najua kuhusu mbwa...huwa anafanya kama sisi Click to expand... Ushuzi wao unanuka kama wa kwetu?
Preta said: ha ha...kwani ulikuwa umeiweka wapi? anyway kuhusu swali lako mimi najua kuhusu mbwa...huwa anafanya kama sisi Click to expand... Ushuzi wao unanuka kama wa kwetu?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Mar 4, 2010 #6 Nyani Ngabu said: Ushuzi wao unanuka kama wa kwetu? Click to expand... hapo ndio sina uhakika...ila kina sauti kama yetu
Nyani Ngabu said: Ushuzi wao unanuka kama wa kwetu? Click to expand... hapo ndio sina uhakika...ila kina sauti kama yetu
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,080 Reaction score 136,559 Mar 4, 2010 Thread starter #7 Preta said: hapo ndio sina uhakika...ila kina sauti kama yetu Click to expand... Uliwahi kuisikia hiyo sauti? Na wao wanayo yale ya kimya kimya kama sisi?
Preta said: hapo ndio sina uhakika...ila kina sauti kama yetu Click to expand... Uliwahi kuisikia hiyo sauti? Na wao wanayo yale ya kimya kimya kama sisi?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Mar 4, 2010 #8 Nyani Ngabu said: Uliwahi kuisikia hiyo sauti? Na wao wanayo yale ya kimya kimya kama sisi? Click to expand... hatuna tofauti na wao...wana vikubwa na vidogo
Nyani Ngabu said: Uliwahi kuisikia hiyo sauti? Na wao wanayo yale ya kimya kimya kama sisi? Click to expand... hatuna tofauti na wao...wana vikubwa na vidogo
upele JF-Expert Member Joined Mar 3, 2010 Posts 364 Reaction score 31 Mar 4, 2010 #9 wenye makalio kama sisi wote najamba ondoa shaka biology hapa imelala whats more..free ask Conquest
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Mar 4, 2010 #10 Nyani Ngabu...!!!!!
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,080 Reaction score 136,559 Mar 4, 2010 Thread starter #11 ebbynature said: Nyani Ngabu...!!!!! Click to expand... What?
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,158 Mar 4, 2010 #12 Hapa kunahitajika BUSARA za ndg.Bwabwa zinahitajika haswa kwenye suala la sauti ya Ushu..
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Mar 4, 2010 #13 Tusker Bariiiidi said: Hapa kunahitajika BUSARA za ndg.Bwabwa zinahitajika haswa kwenye suala la sauti ya Ushu.. Click to expand... subiri atoke ferry kwenye moto
Tusker Bariiiidi said: Hapa kunahitajika BUSARA za ndg.Bwabwa zinahitajika haswa kwenye suala la sauti ya Ushu.. Click to expand... subiri atoke ferry kwenye moto
Jerome Senior Member Joined Sep 9, 2009 Posts 144 Reaction score 10 Mar 4, 2010 #14 kwani hamjui kuwa kujamba ni kupumua?kila kiumbe kinapumua na kujamba ni kupumua kwa njia ya haja kubwa,kuna watu wanajambia mdomoni unaweza kumkimbia harufu ya ushuzi wake,kuna kujamba mkojo hamjui?au hilo mnasemaje wapendwa?hamjawahijamba mkojo?
kwani hamjui kuwa kujamba ni kupumua?kila kiumbe kinapumua na kujamba ni kupumua kwa njia ya haja kubwa,kuna watu wanajambia mdomoni unaweza kumkimbia harufu ya ushuzi wake,kuna kujamba mkojo hamjui?au hilo mnasemaje wapendwa?hamjawahijamba mkojo?
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,740 Reaction score 273 Mar 4, 2010 #15 Hii thread imekaa Kiswezi!!
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,366 Reaction score 3,561 Mar 4, 2010 #16 Hehehehehehe.....(...mpaka natoka machoz...)
Oloronyo Member Joined Mar 29, 2009 Posts 80 Reaction score 9 Mar 4, 2010 #17 Nyani Ngabu unabeep eee?
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Mar 5, 2010 #18 Mmh thread nyingine bwana ziko very awkward
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,781 Mar 5, 2010 #19 ebbynature said: Nyani Ngabu...!!!!! Click to expand... Na JULIUS ndo yupi? Au 'ban' imeisha?
JS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 2,064 Reaction score 505 Mar 5, 2010 #20 Hakuna kitu chenye raha hapa duniani kama kuachia kaushuzi kidogo ni raha ya ajabu asikuambie mtu