Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Daaaah we jamaa unalitolea pisitive comment shuzi la mtoa shuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha haa ! Jamii Forum katika ubora wake![emoji16]
Asante mkuu kwa ufafanuzi wa Ushuzi![emoji16]
Nilipata kusikia kuwa hats kwa wahindi kujamba sio issue kabisa...
Hata wakiwa mezani wanakula MTU anaweza kutoa Shuzi lake na hakuna anaye mind...na wanaweza hata Ku comment kitu positive kwa Shuzi LA mtoa Shuzi!
Kweli dunia kuwa uyaone...!![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pamoja na kuwa ni afya, kuna watu wanakera kwenye vyombo vya usafiri.Njiani anachanganya wali maharage,mahindi ya kuchemsha,soda,mayai....Kisha anaachia ushuzi.yaani safair yote inakuwa ni shida.
Daaahh umenikumbusha tulikua kwenye costa saa 12 asubuhi makambako-njombe tunaenda mbeya asa mtu akaachia shuzi la haja, yaani lile shuzi lilikua la kiwango cha rami, shuzi la mbingu ya saba..... Sasa utata ukaja kwenye kufungua madirisha maana ilikua mwezi wa 7 baridi ndo imechanganya ile mbaya na upepo unapiga. Yaan ilikua ni kufa kishujaa tu. Kufungua madirisha baridi ya hatari mkifunga kuna harufu ya hatari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee
 
Na vyakula vyetu tunavyokula sasa ukitoa kitu
Kujamba hadharani katika jamii ya kiafrika sio Jambo linalokubalika.
Harufu chafu ya kujamba inakera wenzako.
Unashauriwa ukiona unadalili ya kujambajamba nenda Kanye choo kubwa, huko utaitoa gesi yote inayotaka kutoka katika kipindi husika.
Na kuwa salama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaahh umenikumbusha tulikua kwenye costa saa 12 asubuhi makambako-njombe tunaenda mbeya asa mtu akaachia shuzi la haja, yaani lile shuzi lilikua la kiwango cha rami, shuzi la mbingu ya saba..... Sasa utata ukaja kwenye kufungua madirisha maana ilikua mwezi wa 7 baridi ndo imechanganya ile mbaya na upepo unapiga. Yaan ilikua ni kufa kishujaa tu. Kufungua madirisha baridi ya hatari mkifunga kuna harufu ya hatari
 
Daaahh umenikumbusha tulikua kwenye costa saa 12 asubuhi makambako-njombe tunaenda mbeya asa mtu akaachia shuzi la haja, yaani lile shuzi lilikua la kiwango cha rami, shuzi la mbingu ya saba..... Sasa utata ukaja kwenye kufungua madirisha maana ilikua mwezi wa 7 baridi ndo imechanganya ile mbaya na upepo unapiga. Yaan ilikua ni kufa kishujaa tu. Kufungua madirisha baridi ya hatari mkifunga kuna harufu ya hatari
😂😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom