Kujamba kikaoni

Praff

Senior Member
Mar 9, 2012
139
12
Enzi za mwalimu, mwl aliongozana na waziri wake mmoja kwenda ziarani nje ya nchi. Walipokuwa kikaoni mwl na yule waziri walikaa viti jirani sasa ndugu msomaji kwa bahati mbaya yule waziri alijamba na harufu mbaya ya uozo ikaanza kusambaa kikaoni pale, kwa busara za mwl. Akamuomba muendesha kikao amuite mhudumu ili afungue madirisha, awashe feni halafu akamuoneshe yule waziri chumba cha kupumzika kabla hajashusha bomu{mjambo} jingine mule kikaoni.lakini sababu aliyoitoa mwl kwa muendesha kikao ni kwamba "joto limezidi mule ndani na waziri anajisikia homa kali ya ghafla"! Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom