OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,703
Nampa heshima kubwa mdau huyu kwa kuwa ameeleza jambo kwa kujiamini sana na kuonekana kujua anachokiongeaThe good thing is, Mungu alitupa uwezo tofauti wa kufikiri na kuamua! so, analysis yako naipa credit and at the same time nai discredit! kwa ufupi nakujibu kama ifuatavyo:-
- Rungwe ni mwanasiasa kama alivyo magufuli. utofauti wao ni kwamba, the latter is so called president! nimeshiriki katika tafiti nyingi nchini ikiwa ni pamoja na kuangalia issue ya utawala bora na Democrasia, zaidi ya asilimia 65% ya tuliowahoji hawana imani na serikali hii, na wengi wao wanamwita Rais Dikteta. Tafiti hii ilijumuisha mikoa ya Dar Es salaam, Morogoro, Arusha, Mbeya, Ruvuma, Katavi, Kagera na Simiyu. Kwa hiyo kumwita jamaa Dikteta Uchwara, nina sababu za msingi za kufanya hivyo.
- Nakosa kuwa na appreciation kwa Rais kwa sababu sioni sababu ya kufanya hivyo na sipendi kuwa mnafiki na kusaliti hisia zangu mwenyewe. Rais Magufuli namfahamu sana kuliko hata unavyomjua. wakati amepata admission ya phD hapa UDSM nilikuwepo na ni kanjanja kuliko unavyojua. For your information, alipata ufadhiri wa PhD kutoka sehemu nne na wafadhili wote walimlipia in fully. Kwa kuwa walikuwa wanalipa kwenye A/C ya Chuo, kulikuwepo na hela nyingi kuliko iliyokuwa inahitajika. jamaa akaja kuomba tumsaidie salio lililozidi. Kumbuka hapo bado ni waziri wa Ujenzi....!nachomanisha hapa ni kwamba, sifa kubwa ya uongozi ni Integrity na kwa bahati mbaya sijaona integrity kwa Rais huyu. Ndo maana nampa benefit of doubt Hashimu Rungwe kwa kuwa Muwazi na kusema kile watu hawapendi kusema na Kusikia. On top of that, kama unamwona Rungwe Hana Logic, It's the same way namwona Magufuli kilaza! Fair trade...
- Kwa siasa za hovyo na sera mbovu za wanasiasa hapa TZ, Politics is nothing but Circus! ndo maana mnaambiwa kuwa viwanda vinakuja nanyi mnakubali bila kuhoji vitakujaje? msomi mzuri or mwanafunzi mzuri ni yule anayehoji na mwenye guts za kutaka kujua mambo, focused and very determined to differentiate things. unaambiwa ni serikali ya viwanda, umejiuliza nani atajenga viwanda? je wawekezaji hao ni local or foreigner? je miundombinu imewekwa ku- facilitate viwanda? mtaani watu hawana purchasing power, je hivyo viwanda watavijengea nini? Banks zimesitisha kutoa mikopo na nyingine zimepandisha riba, je ni wangapi watakopesheka?
- unasema kuwa vyombo vya sheria vyote vilikuwa kwenye stalemate, una ushahidi na hilo? basi naomba u-prove unachokisema...
- Mkuu, huwa sichoti maneno kwa wanasiasa, bali wanasiasa huchota kwangu! Kwa bahati mbaya, Tanzania ndo nchi pekee ambayo wafuasi wa vyama vya siasa wanaweka hisia mbele na maarifa nyuma, wakati ukimsifia huyo jamaa yenu, waza pia upande wa pili wa shilling! wazungu wanasema igonance is bliss, sometimes it is better for you if you do not know all the facts about a situation. Ndo maana wewe unamwona jamaa yuko sawa! What i can tell you is, stay healthy....Utaona mwisho wa haya yote!
Mengine sio issue sana kwa kuwa yanaeleweka na kufahamika. Mimi nimeshtushwa na wafadhiri wa mtajwa wakati akichukua PhD take pale mlimani.Nimeogopa sana.Hembu tujadili kwa kina kwa sababu inaonekana kama vile mkemea dili alikuwa mpiga dili