Kujaa kwa noti za elfu tano kwenye mzunguko

Tangia mwaka jana ukienda bank... Sana sana CRDB wanakupa note za elf 5 tu....... At ATM za mabenk meng zinatoa efl 5
 
Mia 5 zimeadimika sana.. Tunapata shida sana na wateja kwenye chenji!!
 
500 ya noti ba ile silver zineadimika sana....hata 2000 zipo chache chakavu na 1000....
Bank kuu walisena wanataka kuziondoa noti za 500 kuingiza za silver nyingi jambo ambalo halijafanyika vya kutosha
 
. ...anahitaji jibu....ni kweli, ktk siku za karibuni ma benk mengi yanatoa mzigo wa 5000 mie juzi jmosi nilihitaji 15ml NMB Iringa na nikapewa za tano tano na mbili na moja!
 
Back
Top Bottom