Kuitwa usahili TCU

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
637
555
Habari zenu wote humu,, Jana jioni nimepigiwa simu na tcu kuhudhuria usahili tar 7 pale necta nafasi ya admission officer mwenye kujua aina ya maswali anijuze tafadhali,,
 
Habari zenu wote humu,, Jana jioni nimepigiwa simu na tcu kuhudhuria usahili tar 7 pale necta nafasi ya admission officer mwenye kujua aina ya maswali anijuze tafadhali,,
Usaili huo ni wa Oral au written?
 
Mi hawajaniambia kama ni oral ama written,, ila tupo nyomi hatari kuna awamu mbili moja inaanza sa tatu asbh nyingine saa tano,, watu zaidi ya 200
 
Mi hawajaniambia kama ni oral ama written,, ila tupo nyomi hatari kuna awamu mbili moja inaanza sa tatu asbh nyingine saa tano,, watu zaidi ya 200

Kama ni nyomi jiandae kwa usaili wa written,ambayo written huwaga haina formular ila kikubwa jua duties&responsibilities za post uliyoimba na ijue taasis angalau kidogo iyo itakusaidia kujenga confidence ya kile unachoenda kufanya.......All the best Mungu akutangulie
 
me pia wameniita ila website yao naangaika nayo tangu jana haifunguk, mwenye orodha naomba anitupie hapa wakuu
 
Back
Top Bottom