Kuitwa na TPB kwa ajili ya APTITUDE TEST.

Mediocrist

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
1,597
2,000
Habari wakuu kuna mtu kapata hii message maana nimetumiwa hivi punde tu na nimeongea nae huyo mtu kanihakikishia,
" Greetings tanzania postal bank is pleased to invite you to appear for an aptitude test for the post of temporary credit clerk which will be held on monday 2.01.2017 at tpb training center sam nujoma road behind mawasiliano tower dar es salaam. The test will start at 9.00 am"

Naomba maelezo kidogo hizi test zinakuaje? Ahsanteh
 
AtoZ

Member
Oct 14, 2013
38
95
a test designed to determine a person's ability in a particular skill or field of knowledge.

Always huwa online wewe na mashine tu means laptop ni kukimbizana na muda tu.

Kuna hesabu,lugha,maswali ambayo hayana vichwa wala miguu.

Na kidogo kuhusiana na sekta uliyoomba !
 
Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,000
Habari wakuu kuna mtu kapata hii message maana nimetumiwa hivi punde tu na nimeongea nae huyo mtu kanihakikishia,
" Greetings tanzania postal bank is pleased to invite you to appear for an aptitude test for the post of temporary credit clerk which will be held on monday 2.01.2017 at tpb training center sam nujoma road behind mawasiliano tower dar es salaam. The test will start at 9.00 am"

Naomba maelezo kidogo hizi test zinakuaje? Ahsanteh
Ni Kweli.. Nilifanya moja miezi kadhaa iliyopita

Jiandae
 
Mediocrist

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
1,597
2,000
a test designed to determine a person's ability in a particular skill or field of knowledge.

Always huwa online wewe na mashine tu means laptop ni kukimbizana na muda tu.

Kuna hesabu,lugha,maswali ambayo hayana vichwa wala miguu.

Na kidogo kuhusiana na sekta uliyoomba !
Ahsnteh mkuu
 
mtembea kwa miguu

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
1,117
2,000
Habari wakuu kuna mtu kapata hii message maana nimetumiwa hivi punde tu na nimeongea nae huyo mtu kanihakikishia,
" Greetings tanzania postal bank is pleased to invite you to appear for an aptitude test for the post of temporary credit clerk which will be held on monday 2.01.2017 at tpb training center sam nujoma road behind mawasiliano tower dar es salaam. The test will start at 9.00 am"

Naomba maelezo kidogo hizi test zinakuaje? Ahsanteh
Mkuu ulishawahi kupeleka hapo CV zako?
 
Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
17,281
2,000
a test designed to determine a person's ability in a particular skill or field of knowledge.

Always huwa online wewe na mashine tu means laptop ni kukimbizana na muda tu.

Kuna hesabu,lugha,maswali ambayo hayana vichwa wala miguu.

Na kidogo kuhusiana na sekta uliyoomba !
Nilishwahi fanya kama mbili za Proffesional Learning Indicator (PLI) zinahitaji umakini sana maana niya dakika 12 tu na unafanya maswali 50 kila page 1ina maswali 5 mchanganyiko na page zipo 10
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom