Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,850
Naam!!
Kila cheo huja na majukumu yake!!!
Jamaa chali,maji shingoni!Jamaa alibeep sasa anapigiwa anakunja sura
Mkuu upo sahihi sana!​Hahaa, ukitaka kula vizuri lazima uwe tayari kusimamia gharama, lol!
Ukimkimbia utakosa vitamu!aende zake huko, namkimbia....
Teh teh teh!makubwa,madogo yananafuu!Me nataka nikuite dia. Hebu nipe majukumu yangu
Hakika haki imetendeka!Naam!!
Kila cheo huja na majukumu yake!!!
Me nataka nikuite dia. Hebu nipe majukumu yangu
"ukijua kula na wewe ukubali kuliwa"