Kuitwa kwenye usaili polisi

Kuitwa kwenye usaili polisi

josephangetile

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
101
Reaction score
20
Jamani naomba msaada wenu hivi usaili wa polisi kwa form 4 na 6 haujaisha bado? na wa graduate kutoka chuo unaanza lini? coz mara ya mwisho wadau walisema tarehe 3 mwezi huu lazima graduate kutoka vyuoni waitwe mbona kimya? mwenye taarifa naombeni anijuze tafadhali?
 
Jamani naomba msaada wenu hivi usaili wa polisi kwa form 4 na 6 haujaisha bado? na wa graduate kutoka chuo unaanza lini? coz mara ya mwisho wadau walisema tarehe 3 mwezi huu lazima graduate kutoka vyuoni waitwe mbona kimya? mwenye taarifa naombeni anijuze tafadhali?

Form 4 & 6 wamemaliza usaili tangu tarehe 3 mwezi oktoba,kama wewe ni graduate subiri kidogo muda si mrefu mtaitwa kwenye usaili.Over
 
Aiseeeeh! Me nishajiuliza sana kuhusu usaili huu. Jana ilinibidi niende hadi kwa OCS wa kituo kilichopo karibu nami. Ila akaniambia bado kidogo twapaswa kuwa wavumilivu.
 
Punguza pressure. Hadi mwisho wa mwez kitaeleweka. Fanya mazoezi. OVER.
 
Uyo anayesem bdo atakuw muongo.hao wa vyuo mwisho tareh 22 mwez hu.sas cjui afahamu.ssi ndo tupo uku jikon.ccp hahaaaaaaa
 
Wadau mi nilisikia huu usaili kwa waliomaliza vyuo, utafanyika trh 3, mwez huu. Ila nauna kama siku zinaenda na hakuna lolote jipya, linalotokea. Plz mwenye info za uhakika atujulishe jamani!
 
google website ya geshi kupata more updates
 
gesi na polisi wapi na wapi. labda ni jeshi alitaka kusema. kumradhi sleep of the tongue!!:A S-confused1:
 
Naona majina yametoka ya vijana wa Form 4 na 6 waliomaliza usaili tarehe 3. Vijana tembeleeni kwenye website ya police mjionee. Nawale magraduate msiofanya mazoezi jiandaeni kikamilifu nadhani mambo yapo jikoni. Hadi terehe 25 kitaeleweka tu. OVERRRR.
 
Back
Top Bottom