Kuitwa kwenye Usaili: Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)

Ndio,mie nimeomba kaya Plant Operator,ratiba yangu inasema naanza Mchujo iyo Jumamosi saa 5,na Jumatatu ni Prac na Jumatano ni Oral sasa hapo sijajua kila hatua ya usaili kuna mchujo wa kuachwa ama chujio ni mwisho wa Usaili,na pia naomba kuuliza mfano katika kigezo walisema na kuweka kigezo cha kuwa na leseni ya udereva na leseni ukawa huna je inakuwaje hapo ikitokea umefaulu usaili
Hapo kila hatua wanakaa watu BENCHI boss wangu Jitahidi Pia MUNGU atakufanyia wepesi MKUU.
 
Shukrani sana kwa taarifa yako,nilihisi tu yakuwa mwezi wangetoa na kweli wametoa,nashukuru nami nipo katika kuitwa kwenye Usaili,ila kuna kimoja ambacho nakifiria kuna sifa mojawapo ya kigezo sina ni kile chakuwa na Leseni ya Udereva hapo sijui mnanishaurije jamani
wewe leseni huna? mimi nina document zote na sijaitwa
 
Hapo kila hatua wanakaa watu BENCHI boss wangu Jitahidi Pia MUNGU atakufanyia wepesi MKUU.
Sasa mfano kama wataki wa kutoa waliandika uwe na leseni,nikatuma maombi bila leseni na usaili wameniita hapo sijui inakuwaje ikitokea nimepita leseni hawataangalia ama ,naogopa kupoteza nauli yangu
 
Kama anasimamia Utumishi Basi Maswali ya Darasin yanahusika, sasa kwa Watu wa Planning wameita course mbalimbali.... Hapo kwenye maswali sijui itakuwaje....
 
Nenda kapme bahati yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo nauli ya kujichanga fasta hivo inakuw ngumu ngoja nitulie kwanza maana kwenda kuongeza uzoefu wa interview saizi siitaji, naitaji kazi uzoefu nimepata wa kutosha kutoka PSRS.

kumbuka wengine tumetoka Daresalama juzi tuu na uzoefu wa kuudhulia interview kiukweli kwangu si haba.
 
Sasa mfano kama wataki wa kutoa waliandika uwe na leseni,nikatuma maombi bila leseni na usaili wameniita hapo sijui inakuwaje ikitokea nimepita leseni hawataangalia ama ,naogopa kupoteza nauli yangu
Sasa mfano kama wataki wa kutoa waliandika uwe na leseni,nikatuma maombi bila leseni na usaili wameniita hapo sijui inakuwaje ikitokea nimepita leseni hawataangalia ama ,naogopa kupoteza nauli yangu
Inategemea waliongea kwa lugha gan kama walisem n compulsory hapo sawaa ,ila kama walitumia lugha kama hii will be an added advantage. Inaweza isiwe shida sanaa ila wenzako waliofanya vzur kama ww wanaweza chukuliwa kwa advantage wana lessen
 
Ntaenda hta kushangaa chuga ni moja ya maendeleo pia

Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu nenda kama leading contenstant...nikupe ushuhuda kidogo ....mwaka flani niliitwa sehemu interview (nafasi 4 tuliitwa 700) na ilikua ya utumishi ....washkaji walikataa kwenda wakasema sehemu hio lazima watu wapo so tusijisumbue ....m nkaenda ....unbelievable nlikua among 4 waliopata kazi
 
Sisi tumeitwa 384 nafasi 2,ila naenda kupambana mpaka kieleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom