Kuitwa kwenye Usaili: Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)

Nimesoma post 1mpaka ya mwisho nimegundua binadamu tuna tabu sana hapa duniani.
Darasa la 1_7 mitihani.
Form 1_4 mitihani.
Form 5_6 mitihani
Chuoni mitihani.

Kupata kazi nako mitihani?

Kuna shida sehemu.
 
Back
Top Bottom