Kuitwa kwenye uptitude test TPb benk

Daaaaah saiv mambo ni moto yaan ni sheeedah
 
Mm pia nimfanya ila sijapata text najaribu kuvuta subira na kusikilizia wadau kama wameshapata nianze safari ya mkoani nikapalilie mihogo yangu
 
Mm pia nimfanya ila sijapata text najaribu kuvuta subira na kusikilizia wadau kama wameshapata nianze safari ya mkoani nikapalilie mihogo yangu
Wadau wa TPB tupen mrejesho ili tuanze safari ya kurudi kijijini tukaendelee na mambo mengine, kama sms zimetumwa tujuzane mazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…