Kuitwa kwenye interview tanesco tanga

fatma sekkaya

Member
Sep 8, 2018
25
3
Habar za mda huu wadau naskia tanesco pamoja na kuwapigia watu kwa ajili ya interview pia wametoa majina ya watu wanaotarajiwa kufanya interview tanga kwa kada mbali mwenye majina hayo naomba tafadhal
 
Wote waliokidhi vigezo wamepigiwa simu na kupewa tarehe na muda wa usahili.Kuona list hii tafadhali fika ofisi zetu zote za Kanda ya Kasikazini
 
Hvi kwenye ile website ya tanesco naweza pata hayo majina?
 
Wote waliokidhi vigezo wamepigiwa simu na kupewa tarehe na muda wa usahili.Kuona list hii tafadhali fika ofisi zetu zote za Kanda ya Kasikazini
Jaribuni kufanya mambo kisasa,kama kila taasisi zingekuwa hazitoi majina kwenye mtandao na kulazimu watu waende maofisini kuangalia si ingekuwa hapatoshi.Rahisisheni mambo.
 
Wote waliokidhi vigezo wamepigiwa simu na kupewa tarehe na muda wa usahili.Kuona list hii tafadhali fika ofisi zetu zote za Kanda ya Kasikazini
Kiongozi , nafkiri walio omba wametokea mikoa mbalimbali hivyo si rahisi kuona Hilo bandiko. Kama inawezekana ukaweka hapa likaonekana kama ilivyo kusudio la kubandika kwenye ofisi za kanda ili lionekane.
 
Nilivyomuelewa ni kuwa kama hujapigiwa simu usiangaike utakuwa hujakizi vigezo muwe waelewa please, hizi keki zinawenyewe endeleeni kuwa wapole!
 
Hivi sijakuelewa ama? Yani haiwezekani watu kuona majina yao kupitia mtandao, baraza la mitihani huwa wanafanyaje? Kwani lile tangazo lao TANESCO tulilionaje?
 
Nilivyomuelewa ni kuwa kama hujapigiwa simu usiangaike utakuwa hujakizi vigezo muwe waelewa please, hizi keki zinawenyewe endeleeni kuwa wapole!

Hata hiyo si staili nzuri, staili bora ni kuita watu waziwazi, waonekane. In maana kubwa sana hiyo
 
Waonekane ili? Kaka atamwekaje Mdogo wake na Dada atamwitaje kaka yake shangazi je, kuna familia nzima unaweza kuta inafanya kazi huko wanaridhishana tu, na sikuwa hawana vigezo vigezo wanavyo ila ni kuwa baba anampanga mtoto kabisa somea hichi nitakuweka pale!
Na ndivyo ilivyo sehemu nyingi!
Kuna watu wanasoma na wanajua wanakwenda kufanya kazi wapi, sasa kama huna refa aise ni kumuachia Mungu tu itokee bahati na vyeti view konki haswa!
 
Nakubaliana na wewe mkuu kwa niliyokutana nayo mwanza na ndio ikawa interview yangu ya mwisho sikutaka tena haya mambo
Waonekane ili? Kaka atamwekaje Mdogo wake na Dada atamwitaje kaka yake shangazi je, kuna familia nzima unaweza kuta inafanya kazi huko wanaridhishana tu, na sikuwa hawana vigezo vigezo wanavyo ila ni kuwa baba anampanga mtoto kabisa somea hichi nitakuweka pale!
Na ndivyo ilivyo sehemu nyingi!
 
Wote waliokidhi vigezo wamepigiwa simu na kupewa tarehe na muda wa usahili.Kuona list hii tafadhali fika ofisi zetu zote za Kanda ya Kasikazini
Habari yako mkuu,jana kuna thread nili comment na nilitoa malalamiko kuhusu tanesco kuendesha zoezi lenu la usahili kwa usirii na vifichoficho kitu kinacholeta picha isiyopendeza...ulinijibu kuwa mnaendesha zoezi kwa uwazi na majina ya walioitwa interview mmeyabandika kwenye ofisi za kanda husika na nilikuahidi kulifuatilia hilo swala na kuleta mrejesho...leo nimeenda ofisi za kanda ya nyanda za juu kusini na hakuna majina yaliyobandikwa kwa watu walioomba zile nafasi mlizotangaza mwezi wa nne...nazidi kukusisitiza mkuu vitendo vyenu hivi vya kuwaita watu kwenye usahili kwa usirii na vificho vinachafua image nzima ya shirika la TANESCO
 
Kanda ya Kasikazini ndio usahili umeanza kanda hiyo bado mkuu
 
Waonekane ili? Kaka atamwekaje Mdogo wake na Dada atamwitaje kaka yake shangazi je, kuna familia nzima unaweza kuta inafanya kazi huko wanaridhishana tu, na sikuwa hawana vigezo vigezo wanavyo ila ni kuwa baba anampanga mtoto kabisa somea hichi nitakuweka pale!
Na ndivyo ilivyo sehemu nyingi!
Kuna watu wanasoma na wanajua wanakwenda kufanya kazi wapi, sasa kama huna refa aise ni kumuachia Mungu tu itokee bahati na vyeti view konki haswa!
Haya mambo ya vyeti kuwa konki si sababu ya kupata kazi mkuu unaweza ukawa una A zote za huko chuoni ila ukija sokoni mbovu futa hiyo kauli ya kuwa na vyeti konki it means G.P.A kali.
 
Back
Top Bottom