Kuitwa kwenye interview tanesco tanga

Kuitwa kwenye interview tanesco tanga

Waonekane ili? Kaka atamwekaje Mdogo wake na Dada atamwitaje kaka yake shangazi je, kuna familia nzima unaweza kuta inafanya kazi huko wanaridhishana tu, na sikuwa hawana vigezo vigezo wanavyo ila ni kuwa baba anampanga mtoto kabisa somea hichi nitakuweka pale!
Na ndivyo ilivyo sehemu nyingi!
Kuna watu wanasoma na wanajua wanakwenda kufanya kazi wapi, sasa kama huna refa aise ni kumuachia Mungu tu itokee bahati na vyeti view konki haswa!
Umemaliza kila kitu mkuu, hizi nafasi nlibonyezwa na mtu kwamba zimetangazwa kuzuga, wengi watachukuliwa kutoka hapo hapo tanesco na kutoka nje na hapo inabidi usage goti sana kwa aliye juu ya vyote. In short mpango mzima ni kuwekana kama kawa.
 
Haya mambo ya vyeti kuwa konki si sababu ya kupata kazi mkuu unaweza ukawa una A zote za huko chuoni ila ukija sokoni mbovu futa hiyo kauli ya kuwa na vyeti konki it means G.P.A kali.
Nafikiri umeelewa ninachomaanisha!
 
Waonekane ili? Kaka atamwekaje Mdogo wake na Dada atamwitaje kaka yake shangazi je, kuna familia nzima unaweza kuta inafanya kazi huko wanaridhishana tu, na sikuwa hawana vigezo vigezo wanavyo ila ni kuwa baba anampanga mtoto kabisa somea hichi nitakuweka pale!
Na ndivyo ilivyo sehemu nyingi!
Kuna watu wanasoma na wanajua wanakwenda kufanya kazi wapi, sasa kama huna refa aise ni kumuachia Mungu tu itokee bahati na vyeti view konki haswa!

Haha! Wewe! Serikali haingozwi kwa hisia.Hayo unayoongea ni hisia zako ndugu.Vile jinsi unautafsiri ulimwengu na mambo yake. Serikali kuna sheria( sina hakika kama inafanya kazi bado) kwamba hata usaili, lazima pawepo na watu wasiopungua watatu. Sasa ,sisi tunajua wanaosimamia usahili wanaweza kufanya fyongo wakiamua,lakini,si sababu ya kutufanya tusifanye hivi.
 
Back
Top Bottom