Mungu/MUNGU sio munguUsikate tamaa usichoke kua na subira hakuna ulichomkosea mungu ila mungu lazima akupitishe njia ngumu ili uwe Hodari amini nakwambia before May mosi utakua kazini
Mungu/MUNGU sio munguUsikate tamaa usichoke kua na subira hakuna ulichomkosea mungu ila mungu lazima akupitishe njia ngumu ili uwe Hodari amini nakwambia before May mosi utakua kazini
duhMungu/MUNGU sio mungu
KakaMungu wangu mkuu,uliye juu katika kiti cha enzi,nasema asante kwakuwa maombi yangu umeyasikia,umekuwa muaminifu kwangu nami nitakuwa muaminifu kwako kwa kutenda mema!,asante kwa zawadi hii ya kazi uliyonipa,nakuomba uwajaalie hata wale wasiofanikiwa milango yao pia ifunguke!