Deva
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 1,238
- 1,819
Luckyline I love you1: wengine tunamiss jina baba tunatamani wapenzi wetu wawe kama baba kwetu.
2: si kila mwanaume unaweza muita baba, mwanaume mwenye majibu ya kukatisha tamaa, hajui kukuchukulia kama mtoto, hana huruma , huwezi kumuita baba, unajuwa kuna mwanaume hata asipo Fanya kitu basi ana kutreate in a special way, ila mwingine utataskia " I can't do this' na hapo ukute ni jambo Dogo kweli Huyo utamuita baba?
namiss jina baba.
namiss jina baba.

