Zamani ilikuwa inanipa shida kidogo lakini siku hizi wala hainisumbui,nakupa hello ukipiga kimya naendelea na maisha yangu,ila next time maadamu nimeshakujua napita vile.
Ila vile vile nimejifunza kitu,kuna watu huwa wanashida na usikivu usipowajua unaweza sema wanadharau kumbe maskini wana changamoto zap
Kiufupi huwa napenda kusalimia kwani ndio uungwana