ukiita c++ ila ikafanana na nokia in any way (hardware au software) kwa lengo la kumpumbaza mnunuaji ujue iyo ni feki
hata kitu kikiwa sub standard nacho ni feki. we hujiulizi kwanini tecno yenye specs kubwa ambazo ni equivalent na simu nyingine kama samsung au zingine ila utaona bei yake ni ya chini mnoooo kulinganisha na wengine. wao wanapata wapi malighafi?
uwa husikii apple wamesue samsung kwa kuiga design, na kesi kama izo. tecno hawana hata kiwanda cha simu.
Kwa maelezo yako basi SAMSUNG ni feki. Pia brand zote zilizokuja baada ya iphone ni feki sio? Tumekariri vibaya . Mbona kwa laptops hatusemi kuwa samsung laptop ni feki? au panasonic laptop ni feki?
Kumbuka kwamba this is technology market and price doesnt mean QUALITY. What matters is the specs and durability. People nowadays are not after big brand names.
angalia list hii kisha niambie tecno iko wapi
List of all mobile phone brands - GSMArena.com
wapi utapata review za simu za tecno? zaidi ya vi blog uchwara vya watu wanaoreview wenyewe?
niambie kiwanda cha simu za tecno kiko wapi?
Yaani hujui hata kwamba tecno wanayo website yao?. Hizo review hata samsung na iphone hawaziweki wenyewe kwenye website zao.
Ishu ni kwamba tecno na g tide walikuja na simu zao ambazo zilikuwa na double line always na miundo yao haikuiga simu zingine na pia walitumia OS zao wenyewe yaani proprietary Mobile OS. Wala hawakuweka OS ya nokia wala samsung. Pia tecno ya zamani si kama za sasa ambazo nyingi ni smart na zinatumia general OS ya android.
thank god android ni free ndio maana unaona zimeibuka simu elfu kidogo. kabla ya android tecno zilikuwa kama iyo picha niliyoweka...
kuhusu website hata mimi naweza anzisha yangu.
wapi kuna comparison za tecno na simu zingine?
nnapoona mtu anatumia gtide tecno uwa napata picha ya haraka haraka kuhusu uyo mtu.
Tecno ni feki nikimaanisha ni substandard au counterfeit. ndio maana huawei na zte zimetisha ulaya na marekani....
tecno wametarget africa si wanajua sisi tunapenda cheap. hatujali ubora. kwetu ni dampo....
.
Njia ya kuitambua divice original kwa code ....
Siyo faa kwa siku hz za usoni...
.
namaanisha hata mimi nikianzisha kampuni ya simu feki naweza anzisha official website ya simu zangu feki. kwani website ni kazi basi.
We sijui ni wakala wa tecno ama vipi ila all in all tecno ni kama michina mingine tu. wether ni smartphone ama nini...
Kaka tena the easiest way Alitoa Chief-Mkwawa ile ya CPU-Z lkn ukiwa dukani penyewe inaweza kuwa challenging kuja kuiweka hiyo app probably mpaka ufike home
Lkn njia rahisi kwa Simu zote za Samsung bofya *#0*# yaani vitu alivyoweka samsung kwenye hiyo entry iwapo mchina akiviweka na vikafanya kazi...basi ujue hiyo sio copy wala sio fake tena....kwa maneno mengine hawezi kabisa
Tafuta Clone za s4 zote na jaribu kuingia simu yoyote ya samsung uone difference iliyopo....anza na ile part ya sensor tu weka kiganja uone
Clone kwanza hawezi hata jaribu kuweka hiyo sensor maana n kwere ile
sorry for being out of topic but readers will enjoy this
kaka japo zote ni mchina lakini zina tofautiana.tecno ni mchina. sio "orijino"
kaka japo zote ni mchina lakini zina tofautiana.
Yaaani unavo ongea ni dhahiri unaonesha hata shule ndogo tu huna wewe ,yaani unaongea mawazo yako binafsi unataka kuaminisha watu huo uongo wako kwa kukutaarifu tu ni kwamba hakuna tecno feki ,,labda hizo unazo ziongelea ni tecno za huko kwenu lakini sio product ya china by tecno!!techo ni verified company sio kama wewe unavo dhani kuhusu tecno na wala tecno hawatumii blog ,wana wesite yao ambayo ni www.tecno-mobile.com tembelea hapo utapata majibu sahihi,thank god android ni free ndio maana unaona zimeibuka simu elfu kidogo. kabla ya android tecno zilikuwa kama iyo picha niliyoweka...
kuhusu website hata mimi naweza anzisha yangu.
wapi kuna comparison za tecno na simu zingine?
nnapoona mtu anatumia gtide tecno uwa napata picha ya haraka haraka kuhusu uyo mtu.
Tecno ni feki nikimaanisha ni substandard au counterfeit. ndio maana huawei na zte zimetisha ulaya na marekani....
tecno wametarget africa si wanajua sisi tunapenda cheap. hatujali ubora. kwetu ni dampo....
mie pia natumia mchina infinix 5.7-inch Capacitive Touch Display 1.2GHz Quad-core Processor, 1 GB RAM Android 4.2.1 OS (Jelly Bean), Dual-SIM 12 megapixel Camera with Full 1080p HD Video na ina Fast 3G Internet with Wi-Fi ki utendaji naona inafaa sanaKweli kaka, ila ukikompea tecno na huawei au zte au xiaomi unagundua tecno ni substandard.
Mtu anunue tu tecno coz kaamua mwenyewe ila siwezi recommend mtu anunue iyo simu
Yaaani unavo ongea ni dhahiri unaonesha hata shule ndogo tu huna wewe ,yaani unaongea mawazo yako binafsi unataka kuaminisha watu huo uongo wako kwa kukutaarifu tu ni kwamba hakuna tecno feki ,,labda hizo unazo ziongelea ni tecno za huko kwenu lakini sio product ya china by tecno!!techo ni verified company sio kama wewe unavo dhani kuhusu tecno na wala tecno hawatumii blog ,wana wesite yao ambayo ni TECNO Mobile :: Home tembelea hapo utapata majibu sahihi,
Hayo mawazo yako yasio kuwa na research yaweke pembeni.fungua akili yako upya,kuhusu bei ,,walicho fanya tecno ni kupinguza baadh ya vitu ambavyo si vya muhimu mfano sensors, aina ya vioo mfano wanatumia lcd na sio gorilla km samsung na zingine, na vitu vingine visivyo kuwa na umuhimu sana katika matumizi ya kawaida, na hiyo mbinu ndio wanayo intumia hata Fastjet katika safari zao kwa kupinguza baadh ya vitu visivyo muhimu ili kubalance bei,
CHA MUHIMU KWAKO . HUJAFAHAMU NINI MAANA YA BIDHAA FAKE,, HILO HASWA NDILO TATIZO LINALO KUSUMBUA NDIO MANA UNALETA HOJA ZAKO BINAFSI WAKATI HUJUI UNACHO KIONGELEA......kama nimekûkera new samehe bure mkuu! Lakini tuna ishi kwa kuelimishana sote tu wajinga!.........OVER,!!,