Kuita kwa Usaili MSD

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,631
2,038
Habari wana jf, nilituma maombi ya kazi MSD na dedline ilikuwa tarehe 10 mwezi wa tatu na mpaka sasa hivi naona kimya, naomba kuuliza kwa wale wanaojuwa vipi jamaa wameshaita kwenye usaili au ndio nimechinjwa baharini?
 
Braza amekuuliza kuhusu akili akimaanisha deadliline toka ifike hata wiki haijaisha Leo ndugu yetu unaulizia kuitwa kwa ajili ya usaili, kwa Uzi uliouleta hapa swali alilokuuliza bro hapo juu kila mtu angeweza kuuliza swali hilo, bt ucjali
 
halo mbaya
 
Habari wana jf, nilituma maombi ya kazi MSD na dedline ilikuwa tarehe 10 mwezi wa tatu na mpaka sasa hivi naona kimya, naomba kuuliza kwa wale wanaojuwa vipi jamaa wameshaita kwenye usaili au ndio nimechinjwa baharini?
Du umekurupuka sana au ndo kazi yako ya kwanza kuomba tangu uhitimu chuo jaribu kusahau afu anza kukumbka kuanzia mwezi wa sita na kuendelea
 
It's okay.
Anahitaji msaada na kwa majibu yenu atakuwa kajifunza ukitupilia mbali kuelewa
 
Habari wana jf, nilituma maombi ya kazi MSD na dedline ilikuwa tarehe 10 mwezi wa tatu na mpaka sasa hivi naona kimya, naomba kuuliza kwa wale wanaojuwa vipi jamaa wameshaita kwenye usaili au ndio nimechinjwa baharini?
una haraka ya kwenda wapi wewe????? wacha papara leo ndo kwanza tar 18
 
Back
Top Bottom