Kuisifu CCM kwamba inaleta maendeleo Ni makosa

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Ccm inafaidika na watu wa Aina tatu katika nchi hii

1.Wajinga hapa jumuisha wote walioishia la Saba na wasio jitambua toa wachache.

2.Wanaofaidika na mfumo wa moja kwa moja wa kifisadi wa ccm kwa namna iwayo yote.

3.Wanaoogopa kutekwa na kuwawa kumbuka kwasasa ccm ni chama muumiani

Hao ndio watu wanaoishabikia CCM ambao wengi ukiangalia hapo juu ni kwasababu ya ujinga na uoga ccm kwakutambua faida kubwa ya kundi la tatu ndio maana hujirafikisha kwa dola maana wanajua bila dola watachomwa Moto mitaani kwa Mambo yao !!

Ccm Ni adui wa taifa hili kwa anaejua zuri lililofanywa na ccm lisilo na ufisadi ndani yake aliseme ukitoa Uhuru ulioletwa na tanu wanaojinasibisha nao. CCM lazima kife tuanze upya!!
 
Naichukia CCM kuliko mavi Bora kula mavi kuliko kukaa karibu na tabia za kiccm kuteka kuuwa kusingizia watu jumamosi jumapili wanaenda St Patrick's kuomba baraka ya utekaji walioufanya alhamisi !!
 
Kifo Cha akwilina Ni pure dhambi ya CCM ila mnawabambikizia chadema na kwataarifa yenu CCM chadema hata wakikaa kimya miaka Mia watanzania wataipenda tuuu na mkae mkijua polisi 80% Ni chadema walimu 95% Ni chadema jw 97% ni chadema na jw wako huru kule hamsogezi pua zenu ***** CCM upuuzi wenu wote unaishia polisi jw washawapiga mkwara kitambo makambini kwamba hawataki siasa zenu za kipumbavu za uswahilini mmebaki kuwaonea polisi *****!!
 
Hakuna binadamu anaweza kuidhoofisha CDM; hata uwazuie kufanya mikutano miaka 10; sana sana utakuwa unajishosha mwenyewe, hata uwape kesi badi mziki ni uleule...CDM ni kama dini watu wameapa kufa nayo kwa shida na raha, kwa mvua na jua....hata bila malipo watu wataifania kazi tu.
 
Makamanda mnakwama wapi!
Isipoleta maendeleo au kuharibu mambo ya nchi, mnasema ni CCM.
Ikifanya na kuleta maendeleo, mnasema siyo CCM.
Huu ni Ujinga.
 
Hakuna binadamu anaweza kuidhoofisha CDM; hata uwazuie kufanya mikutano miaka 10; sana sana utakuwa unajishosha mwenyewe, hata uwape kesi badi mziki ni uleule...CDM ni kama dini watu wameapa kufa nayo kwa shida na raha, kwa mvua na jua....hata bila malipo watu wataifania kazi tu.
Aksante baba, CDM ni itikadi ni imani
 
CCM imeanza lini kuleta maendeleo? Miaka 60 ya kuzaliwa kwake na iko madarakani bado ina wananchi tunaitwa Wanyonge
 
Back
Top Bottom