Kuishinda hofu ya kifo

Kuishinda hofu ya kifo

Kulingana na maelezo ya MoI of India anasema muda unaoanzia saa 3:30Alfajiri mpaka saa 3:40 Alfajiri ni muda ambao kuna jambo linalotokea "Brahma mahutra" katika asili ambapo hata kama watu wakiwa katika usingizi kuamka.
Anaendelea kusema muda huo ni wakati wa muhimu sana katika masaa 24. Hali hii kutokea kwa wengi lakini bado wengi hawaihisi hali hiyo..
niliishia hapo nadhani unaweza kutupa details za hii kitu zaidi..
Ikifika muda leo usiku chant hii mantra kisha kukipambazuka niambie
Hare kshna hare kshna hare hare
Hare rama hare rama, rama rama hare hare

Hare kshna hare kshna hare kshna
Hare rama hare rama hare rama
Krishna krisha hare hare
Rama rama hare hare
 
Kwa mfano gari ikipata ajali bodi ikaharibika kabisa lakini engine ikawa salama hatuwezi kusema engine imeharibika kutokana na bodi hiyo kuharibika ni kuupotosha ukweli.
Kwa mfano huo huo, vipi hakuna ajali nyingine ambazo hupelekea bodi na injini zote kufa na kufanya zisifae tena kitu ambacho kinaweza kutokea kwenye uhai kwamba mwili na roho vyote kupotea?
 
Wanadai muda huu ni muda mzuri sana wa meditation and prayers kwa Dini nyingi Duniani kuliko muda wowote ule.
Kuna ambao wanaita muda wa Muumbaji (Creators time)
Ikifika muda leo usiku chant hii mantra kisha kukipambazuka niambie
Hare kshna hare kshna hare hare
Hare rama hare rama, rama rama hare hare

Hare kshna hare kshna hare kshna
Hare rama hare rama hare rama
Krishna krisha hare hare
Rama rama hare hare
 
Kwa mfano huo huo, vipi hakuna ajari nyingine ambazo hupelekea bodi na injini zote kufa na kufanya zisifae tena kitu ambacho kinaweza kutokea kwenye uhai kwamba mwili na roho vyote kupotea?
Roho haina mipaka ya mahali na muda "not spacial temporal" na ina sifa ya umilele.
Umbile lake ni formless.....just imagine can you destroy formless?.
 
Ikifika muda leo usiku chant hii mantra kisha kukipambazuka niambie
Hare kshna hare kshna hare hare
Hare rama hare rama, rama rama hare hare

Hare kshna hare kshna hare kshna
Hare rama hare rama hare rama
Krishna krisha hare hare
Rama rama hare hare
Mshana umezidi kunitumbukiza kwenye an allegory of the cave...naona hallucinations.
 
Roho haina mipaka ya mahali "not special temporal" na muda na ina sifa ya umilele.
Umbile lake ni formless.....just imagine can you destroy formless?.
Nafahamu roho ina sifa ya umilele ndio maana sijasema kuharibika 'destroyed' , nimesema kupotea, vile vile roho ina mipaka sababu yupo aliyeiumba, yeye ndio hana mipaka!
 
Nafahamu roho ina sifa ya umilele ndio maana sijasema kuharibika 'destroyed' , nimesema kupotea, vile vile roho ina mipaka sababu yupo aliyeiumba, yeye ndio hana mipaka!
Umeelewa lakini nilichoandika?
.....roho haina mipaka ya space and time
kupotea inakuwaje ndugu hapo?..nipo tayari kujifunza kutoka kwako.
 
Nafahamu roho ina sifa ya umilele ndio maana sijasema kuharibika 'destroyed' , nimesema kupotea, vile vile roho ina mipaka sababu yupo aliyeiumba, yeye ndio hana mipaka!

We are ONE, we are all I AM.. Sisi na alietuumba hatuna utofauti, kama yeye hana mipaka na sisi pia hatuna mipaka. Maisha yetu yamejawa na hofu za kila aina na ndio sababu tunashindwa kulitambua hilo.
 
Muda wenye nguvu sana kiroho
Saa sita kamili
Saa tisa kamili
Kumbuka Kristo alikufa saa tisa adhuhuri
Saa tisa alfajiri ndio wenye nguvu sana kiroho na ziraili huivinjari dunia
Hii 3:33...huu muda huu ni muda wangu maalum sana
Muda maalumu umekaribia.....
Let us send our vibrations to the cosmos.
 
Mtume anasema theluthi ya mwisho ya usiku Mungu hushuka mpaka katika mbingu ya dunia na husema "nwni anaomba nimpe ".. N.k

Na huu wakati wa mwisho wa usiku uislamu umeaisitiza sana tuombe dua kwa sababu ni zinakuwa zenye kujibiwa mno.
 
Karibu
 
Muda wenye nguvu sana kiroho
Saa sita kamili
Saa tisa kamili
Kumbuka Kristo alikufa saa tisa adhuhuri
Saa tisa alfajiri ndio wenye nguvu sana kiroho na ziraili huivinjari dunia
Hii 3:33...huu muda huu ni muda wangu maalum sana
Leo nadhani umewahi Mkuu.
 
Licha ya ukweli kuwa hakuna mtu aliyewahi kuona mtu aliyekufa kifo kimeendelea kupewa sifa kubwa kuliko ukweli wenyewe ulivyo. Kiuhalisia tunachokiona ni mwili wa mtu lakini siyo mtu.

Tunalinganisha mwili wa mtu na mtu mwenyewe na kulingana na mazoea tunaamini mtu amekufa jambo ambalo siyo sahihi kabisa. Uumbaji unaonesha kuwa kuna uhai tu ambao unakuwepo katika mawanda tofauti "different dimensions of life".

Mwili wa mtu unaposhindwa kutunza uhai mtu hutoka na kuingia katika mawanda mengine huku mwili ukibaki kama boksi tupu" when the body fail to sustain life it is the time for life to find new dimension".

Kuna mdau mwenzangu humu nilipojibu kuwa kifo na uhai ni kitu kilekile akawa ananishanga nadhani kupitia uzi huu anaweza akaelewa kiasi nilimaanisha nini.

Kwa maana hii haipo tofauti kati ya uhai na kifo kwa sababu uhai ni uleule ila unatoka katika mwili endapo mwili huo utakuwa umechoka kuutunza kutokana na maradhi ya mwili ajali n.k.

Kwa mfano gari ikipata ajali bodi ikaharibika kabisa lakini engine ikawa salama hatuwezi kusema engine imeharibika kutokana na bodi hiyo kuharibika ni kuupotosha ukweli.
P
We can experience life in different dimensions. Be bold.

Hii mambo ya kuaandaana kufa ina cha kufanya na hii mambo ya kunyimana kwa makusudi tu chanjo za gonjwa hili linalo tupukutisha kweri kweri?
 
Hii mambo ya kuaandaana kufa ina cha kufanya na hii mambo ya kunyimana kwa makusudi tu chanjo za gonjwa hili linalo tupukutisha kweri kweri?
Andika tena Mkuu sijakuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom