Kuishi pamoja kabla ya ndoa

Labda ungeuliza hivi vipi msichana akifa ghafla humo ghetoni jamaa atafanyeje.au chukulia huyo kijana wa kiume afe ghafla atafanyeje huyo binti.
Hapa ndo ajiulize baada ya kupata jibu afate taratibu zote kutoka kwa wazazi wampe baraka ndoa itafata hata baadae.
 
Mwanamke atakuwa anajiondoa sokoni taratibu. Ni mchezo ambao utazaa majuto kwenu nyote baadaye
 
We na malaya wako mlikamilisha process kabla ya kupelekana lodge au magetoni 😎.??

Huko Lodge hawezi kufa au kifo ni mpaka ukiishi nae tu?! Kwa kufanya hivyo we nafsi yako hujaiangamiza au sio?
 
Ubaya hamna,ila thaman unashuka kama tu PANDE ZOTE MBILI HAWAJUI KAMA MNAISHI PAMOJA....ndoa sio lazima ila ndugu wa krb wafaham...kwa pande zote mbili..hasa wqzazi wa kike .kuna haja sana kifaham...ili KUPUNGUZA KUJIELEZEA KUKITOKEA CHOCHOTE CHA KUHITAJ MAAMUZ NA UZOEFU WA WAKUBWA.
 
Na kama unapokaa kuna chqma cha kijiunga..jiunge wew n mwenza wako... Ili kwa tatizo lolote kt yenu ..mupate msaada wa krb kwa jamii iliyokuzunguka
 
Haipendezi maana inaweza kutokea shida mkashindwa pa kuanzia ni vizuri kuweka mahusiano yenu wazi, mfunge ndoa kutokana na imani zenu, nakutakia kila lakheri.
 
Kwavile wote mpo chuo, mnaweza tu kuishi pamoja ili kupunguza gharama na pia itasaidia mchungane mmoja wenu asije akachepuka. Ila mkishamaliza chuo kila mtu atawanyike akatafute mume/mke.
[emoji3][emoji3]
 
Kama kuw@£ómbaga watoto wa watu mnaendaga kuomba ridhaa kwanza kwa wazazi na walezi wao utakuwa sahihi ila kama hufati taratibu we ni muhuni pia!
Yn ukienda kuomba kibali kwa wazazi ili muishi wote na wakikubali bc fahamu kuwa wamekubali mkabanduane pamoja na mambo mengine
 
Nendaa kwa wazazi wakabariki then mfanyee mnachotaka maana wazazi ni sehemu ya Mungu apa duniani....izo nyingine ni taratibu na desturi za wageniii walio ziletaa apa africa na tukaziendeleza
 
We na malaya wako mlikamilisha process kabla ya kupelekana lodge au magetoni 😎.??

Huko Lodge hawezi kufa au kifo ni mpaka ukiishi nae tu?! Kwa kufanya hivyo we nafsi yako hujaiangamiza au sio?
Poa mkuu .basi kata hilo neno la "kufa" kama vipi.ubakize unachopenda kukiona kimeandikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…