Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,754
- 4,684
- Thread starter
- #41
Atafungua kesi ya kutishiwa kuuawa 😀Mwambie usinichezee nitakuua,utaona heshima atakayokupa.
Atafungua kesi ya kutishiwa kuuawa 😀Mwambie usinichezee nitakuua,utaona heshima atakayokupa.
Kuna baa medi alini dhurumu chenchi yangu alijuwa nimelewa nikamwambia Nita kuua. Kwa nini asikumbuke akarudisha chenchi yangu.Atafungua kesi ya kutishiwa kuuawa 😀