Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 9,810
- 14,054
Hii kesi ni yangu kabisa na jirani yangu mtu mzima bandidu balaa.
Nataka kujenga fensi nikamfuata, nikamwambia bwana fensi tuziunge sababu ya kiusalama, akakataa akasema tuache mita moja na nusu pawe na uchochoro.
Mie kiroho safi nikatia fensi nzito ya tofali za block nikaacha mita moja na nusu, si nae akapata hela akaanza ujenzi wa fensi kuvuta kutoka kwenye fensi yangu, yani achukue na ile moja moja na nusu ya kwangu, nikamfuata sikumkuta, nikaacha maagizo kwa mke wake kwamba kama anataka kujenga fensi aache mita moja na nusu kama ambavyo alishauri vinginevyo hatojenga hiyo fensi.
Basi ukawa mwisho wa salamu na mimi nikakauka mpaka leo na fensi ile nikaongeza kozi mbili nikatia na security wire. Anabakiaga kusema huyo dogo anakula sana kaya kwa watu. 😁