Kuishi na walimwengu yataka moyo

Kuishi na walimwengu yataka moyo

Oscar Lyrics

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
2,744
Reaction score
4,672
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu,
baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni bahati mbaya,

Huwezi amini moto uliwaka maneno kibao, kwamba nawafatilia sana, ikabidi niondoke zangu baada ya kuona tunapoelekea siyo kuzuri,

Baada ya wiki kadhaa nikazungusha uzio ili kuepuka shari, huwezi amini jirani hataki hata kunisalimia, yani ni kimya kimya, sasa hapo sijui kosa langu ni lipi,

Hapo kabla niliwachukulia kama watu wema sana, walinitia moyo wakaniambia nisijali ipo siku nami ntajenga kama wao, lakini cha ajabu baada ya kuhamia kwangu jirani amekuwa tofauti sana, kila siku visa tu,

kweli ubinadamu kazi.
 
Walipokwambia “usijali na wewe utajenga tu” ukajua ni nia ya kweli kukutakia mema?
Bado hujawajua binadamu wewe,

Binadamu mueleze shida tu, utaona wanafurahi na kukuonea huruma hata kukusaidia, the second you show your fortune, your are done.
 
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu,
baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni bahati mbaya,

Huwezi amini moto uliwaka maneno kibao, kwamba nawafatilia sana, ikabidi niondoke zangu baada ya kuona tunapoelekea siyo kuzuri,

Baada ya wiki kadhaa nikazungusha uzio ili kuepuka shari, huwezi amini jirani hataki hata kunisalimia, yani ni kimya kimya, sasa hapo sijui kosa langu ni lipi,

Hapo kabla niliwachukulia kama watu wema sana, walinitia moyo wakaniambia nisijali ipo siku nami ntajenga kama wao, lakini cha ajabu baada ya kuhamia kwangu jirani amekuwa tofauti sana, kila siku visa tu,

kweli ubinadamu kazi.
Wakati unazungushia uzio uliweka kwenye mipaka yako halisi ambayo huyo jirani aliimega?

TIA fensi ishi maisha yako, huwezi kumridhisha kila mtu
 
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu,
baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni bahati mbaya,

Huwezi amini moto uliwaka maneno kibao, kwamba nawafatilia sana, ikabidi niondoke zangu baada ya kuona tunapoelekea siyo kuzuri,

Baada ya wiki kadhaa nikazungusha uzio ili kuepuka shari, huwezi amini jirani hataki hata kunisalimia, yani ni kimya kimya, sasa hapo sijui kosa langu ni lipi,

Hapo kabla niliwachukulia kama watu wema sana, walinitia moyo wakaniambia nisijali ipo siku nami ntajenga kama wao, lakini cha ajabu baada ya kuhamia kwangu jirani amekuwa tofauti sana, kila siku visa tu,

kweli ubinadamu kazi.
MAENEO GANI AO WALIMWENGU UNAISHI NAO
 
Pole sana,
Unapakana na mwenzio kiwanja wewe unatangulia kujenga,wakati yeye anajenga vifaa anaweka kwako Hadi mchanga wako anatumia na harudishi mwisho wa siku anamaliza kujenga na kuhamia,mwisho wa siku anasema eti hupendi maendeleo yake!

Unapotezea tu!
 
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu,
baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni bahati mbaya,

Huwezi amini moto uliwaka maneno kibao, kwamba nawafatilia sana, ikabidi niondoke zangu baada ya kuona tunapoelekea siyo kuzuri,

Baada ya wiki kadhaa nikazungusha uzio ili kuepuka shari, huwezi amini jirani hataki hata kunisalimia, yani ni kimya kimya, sasa hapo sijui kosa langu ni lipi,

Hapo kabla niliwachukulia kama watu wema sana, walinitia moyo wakaniambia nisijali ipo siku nami ntajenga kama wao, lakini cha ajabu baada ya kuhamia kwangu jirani amekuwa tofauti sana, kila siku visa tu,

kweli ubinadamu kazi.
Hama ...jiran kama hamuelewan hata mbiguni huendi
 
Back
Top Bottom