Kuzaa kawaida tu kama wote mna malengoSeriously kama mna nia ya dhati ya kuoana, sherehe kubwa sio a big deal kabisa. Ila ndo hivyo tumerahisisha sana maisha ya ndoa na hata kuzaa tu na boyfriend/girlfriend tunaona ni kitu cha kawaida tu.
Ndugu zangu natumai hamjambo,
Hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? Kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa.
Naombeni msaada
Na wewe unafika 3 years unamuangalia tu mwanaumeHaha miaka 5 jamani no way. Imagine after 5 years mtu aje akwambie haoni future kati yenu, hadi uje utulie uanze upya mmmmmh
Hongereni kwa kweli. Namshukuru Mungu hajawahi nipo hayo malengo ya kuzaa na boyfriend namuomba tu asinipe before ndoaKuzaa kawaida tu kama wote mna malengo
Hv what is the difference ukizaa kabla ba baada ya ndoa embu nsaidie hapoHongereni kwa kweli. Namshukuru Mungu hajawahi nipo hayo malengo ya kuzaa na boyfriend namuomba tu asinipe before ndoa
Emotions zikitawala, logic huwa haitumiki tena na kuingia ni rahisi kuliko kutoka. Kwa kweli hadi ifike hiyo miaka 3, ntamsurprise vizuri tuNa wewe unafika 3 years unamuangalia tu mwanaume
Utakuwa na matatzo
Then utumie hzo hzo emotions kudeal na kuachwa after five years kwa maana kama kila kitu kiko Sawa mwanaume Ana maisha yake plus na wewe mdada maisha yashaanza kuwa stable why ukubali kuambiwa kila siku kuwa bado najipanga utakuwa una wazimuEmotions zikitawala, logic huwa haitumiki tena na kuingia ni rahisi kuliko kutoka. Kwa kweli hadi ifike hiyo miaka 3, ntamsurprise vizuri tu
Hivi mtu ambaye huna uhakika na future naye unapangaje kuzaa naye? Ukizaa na gal friend wa kwanza what's the guarantee kuwa hutozaa na mwingine? None of them is your wife so far. Then utaelewa tu situation vizuri utakapokuwa umezaa bila mpangilio na watoto wengine wanaishia kulelewa na wanaume wengine. To each his own thoughHv what is the difference ukizaa kabla ba baada ya ndoa embu nsaidie hapo
Haha tutazitumia tu after kuachwaThen utumie hzo hzo emotions kudeal na kuachwa after five years kwa maana kama kila kitu kiko Sawa mwanaume Ana maisha yake plus na wewe mdada maisha yashaanza kuwa stable why ukubali kuambiwa kila siku kuwa bado najipanga utakuwa una wazimu
Achana na mapenz yenu ya uboifrend na ugirfriend nazungumzia mtu mwenye malengo yenu before marriage hamuwez kuzaaHivi mtu ambaye huna uhakika na future naye unapangaje kuzaa naye? Ukizaa na gal friend wa kwanza what's the guarantee kuwa hutozaa na mwingine? None of them is your wife so far. Then utaelewa tu situation vizuri utakapokuwa umezaa bila mpangilio. To each his own though
Mie ndoa kwanza ndo hayo malengo mengine yaje. Sina hayo malengo na a mere boyfriend, anaweza kupita tu kama wengine walivyopitaAchana na mapenz yenu ya uboifrend na ugirfriend nazungumzia mtu mwenye malengo yenu before marriage hamuwez kuzaa
Ndio mzitumie vzur ili msje kusema kwamba wanaume wabayaHaha tutazitumia tu after kuachwa
Unaongea na mimi au mtoa mada? Mie mwenyewe mpiga sound[emoji13] [emoji13]Ndio mzitumie vzur ili msje kusema kwamba wanaume wabaya
Maana hata Mie aisee nakupiga sound kila mwaka unakubal tu walah asilimia za kukuacha ni kubwa sana inabd uwe na misimamo cz wewe nategemea uwe mama mwenye nyumba sasa kama kila kitu Sawa tu wewe na emotions zako shubaamit
Angiza soda mkuu nakuja kukulipiaHuwezi kununua suti au vazi bila kwanza kulijaribu. Watu wengi hawawezi. Ukifanya hivyo halafu baadaye ugundue kwamba halikutoshi, utakuwa umepoteza wakati na pesa zako.
Unless unajua size yako na unahakika litafiti.
Sijasema mm....na mm nimesikia sehemu.
Ndio shida yenu mnaona ndoa ndio kila kitu mbona wenzetu wanaojielwaa wanazaa tu before marriage tatzo tunapenda zaid zile kwaito n.a. yale magaun meupe bila kujua the drive in between you twoMie ndoa kwanza ndo hayo malengo mengine yaje. Sina hayo malengo na a mere boyfriend, anaweza kupita tu kama wengine walivyopita
Aliekua anatetea hapa wewe au mtoa mada bas tupigane sound ila usije na kelel uspokuta ndoa baadaeUnaongea na mimi au mtoa mada? Mie mwenyewe mpiga sound[emoji13] [emoji13]
Ndo maana nikasema to each his own, kwa wengine it works perfectly; so muwatafutatage tu hao wakuwazalia before ndoa. Wapo wengi tu, tena wengine wanategesha hadi na mimba wenyewe. Sisi waamini ndoa mtupitage tu. Nimeongelea ndoa sio harusi hapoNdio shida yenu mnaona ndoa ndio kila kitu mbona wenzetu wanaojielwaa wanazaa tu before marriage tatzo tunapenda zaid zile kwaito n.a. yale magaun meupe bila kujua the drive in between you two
Me nishaolewaAliekua anatetea hapa wewe au mtoa mada bas tupigane sound ila usije na kelel uspokuta ndoa baadae
Ndio shida yenu mnaona ndoa ndio kila kitu mbona wenzetu wanaojielwaa wanazaa tu before marriage tatzo tunapenda zaid zile kwaito n.a. yale magaun meupe bila kujua the drive in between you two