Kuishi na mke wa aina hii, uwe na moyo kama mwendawazimu!

Kwa sehemu kama hii JF ni rahisi sana mtu akajieleza kinyume na maisha yake ya kawaida' kwa maelezo yako waweza kuwa mmoja wa hao watumwa'

Kama unajua kusoma mawazo ya mtu kwa kutumia maandishi yake ni rahisi sana kujua tabia za watu humu JF. hebu ngoja uone mada inayochokoza hisia za watu, utaona jinsi watu watakavyojibu katika maoni yao................. fanya utafiti, utashangazwa na ugunduzi huo...
Mie nimejitahidi kusoma tabia za watu kutokana na jinsi wanavyojibu hoja mbalimbali humu JF na nimewapata wengi si haba..........

Humu JF ni rahisi kujua hisia za mtu kupitia maoni yake au thread yake ya siku hiyo kama amenyimwa unyumba au anadaiwa kodi, ama kuna mwanamke anamzingua,................ hasa hapa MMU utajua tu......................
 
hata sikumbuki kama ninaanzaje ninapotaka jambo hilo, maana wakati mwingine hata jikoni mambo yanakuwa shwari tu, sina eneo maalum la kujidai ni popote pale ambapo tutapata faragha ndani ya nyumba yetu...............
Labda nimuulize mama Ngina wangu kuwa huwa namuanzaje nikitaka, kisha nitakujibu....................LOL

ila naamini haumkurupukii huyo mama ngina!
 
ila naamini haumkurupukii huyo mama ngina!

Yeah, sort of.................Husninyo, unajua haya mambo inategemea maisha yenu ya ndoa yakoje, kama mnaishi kama Bosi na mtumishi wake, tendo hilo haliwezi kuwa la kubembelezana, litakuwa likifanyika kwa amri tu, lakini kama mnaishi kama mtu na rafikie.................wala hutafuti misamiati ya kuomba jambo hilo, mara nyingi mnakuwa na misamiati yenu ya kuchokozana na hiyo ndiyo inayopeleka ujumbe upande wa pili kuwa mwenzako anataka haki yake,.... mawasiliano yana lugha nyingi ..................... nitazitaja kwa uchache........

1. Telepathy- mawasiliano ya kutumia mawazo, kwa maana ya kuwasiliana na mwenzio kwa kutumia mawazo kama utahitaji ufafanuzi juu ya njia hii ya mawasiliano basi ni-PM
2. Body Language- Hii najua unaifahamu
3. mazungumzo, mara nyingi wanandoa wanabuni lugha yao ambayo watakuwa wanaitumia na wakaelewana.

NK.
 
Hahahahhaha mtambuzi si unyenyekevu tu bana sometimes unajisikia tu umvue mwenzio kwa upendo. Tena kuvua kwenyewe si kwa kuinama bali mke anakaa chini kabisa ananyoosha miguu yake na miguu ya Mr anaiweka kwenye mapaja anavua soksi akimasaji taratibu huku akipiga 'umbeya' na mumewe kumjulia hali, siku yake imekwendaje na kumweleza lililojiri nyumbani mwake na hata jinsi gani alivyommiss au alivyojisikia vizuri alivyopokea simu yake mchana ule..................... hahahahahahah mi ctaki kwa nini lakini mnatukumbushia machungu enyi waja??
Daaaah hadi nimefurahi yaani. Kumbe ndoa kwa uhalisia wake ni tamu tu sema binadamu alivyo kivuruge ndio inaonekana chungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom