Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

vanus

Member
May 27, 2017
62
150
wakati mwingine sababu zinakuwa zako, embu msikilize akwambie anataka nini tatizo mnawapuuzi hivyo wanarundika mihemko
Vitu vya ajabu mkuu, ww mtu anakuambia i love you hunny ukimjibu i love you too, tayari ni kesi kubwa sna kma ni chakula anaweza piga teke, kisa eti sijamalizia “i love you too baby”
 
vanus

Member
May 27, 2017
62
150
Sasa huo ulabu si ndiyo unakupoteza kabisa, unatakiwa uwe kamili ili kutatua changamoto zote!
Naweka ganzi kichwani akipiga porojo nakuwa kma nasikiliza radio akimaliza, nampiga show nalala zangu, nasubiria vituko vya kesho
 
Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
17,116
2,000

Baadaye atajiona mjinga na kujirekebisha mwenyewe sasa mke anaongea na Mme anamjibu! Wengine zinakuwa ni stress za kulea watoto
 
vanus

Member
May 27, 2017
62
150
Baadaye atajiona mjinga na kujirekebisha mwenyewe sasa mke anaongea na Mme anamjibu! Wengine zinakuwa ni stress za kulea watoto
Hapo umenielewa mkuu, changamoto za ndoa zina mwisho wake ila namna ya kuvumilia mpaka ziishe lazima cheche ziruke
 
Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
17,116
2,000
Hapo umenielewa mkuu, changamoto za ndoa zina mwisho wake ila namna ya kuvumilia mpaka ziishe lazima cheche ziruke
Yaani kuna wakati mpaka unajiuliza hivi huyu kwanini namjibu na tunaishia kurumbana tu, hapo sasa akili inakuwa ya mmoja wapo inakuwa imechuja malumbano hayo, ukimjua tu vitu vingine unapotezea tu ili maisha yaendelee.
 
MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,079

Ila wanawake. Mada inaweza ikaanza saa tisa usiku. Mmemaliza shoo kaenda toi amerudi umepitiwa na usingizi unasikia mtu anakusemesha.

"Nilishakwambia viatu vyako na Soksi uvulie kule. We nakusemesha unajifanya umelala?"
 
Haaaa akisafiri wiki tu unamkumbuka kweli
 
Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
8,197
2,000
Kuna jamaa ni msabato safi. Kila akitoka job saa 10, anapitia bar, anaagiza maji makubwa au redbull. Anakaa pale mpaka saa au 3 kasoro then anawasha gari kuelekea kwake Gongo la mboto. Hii ratiba ana mwezi wa 6 tokea ianze, hatujui nyumbani kwake kuna nini, na hakuna anayemuuliza.
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
13,520
2,000
Vitu vya ajabu mkuu, ww mtu anakuambia i love you hunny ukimjibu i love you too, tayari ni kesi kubwa sna kma ni chakula anaweza piga teke, kisa eti sijamalizia “i love you too baby”
Hahahahahahahaha
 
BLACKTYGA

Member
Nov 24, 2016
30
95
TULIAMBIWA TUISHI NAO KWA AKILI KAMA HAUNA AKILI NI BORA KUA SINGLE, NA ISHU YA KUKUPENDA SIO MUHIMU SANA HESHIMA NDIO MPANGO MZIMA, maandiko yamesisitiza hilo
 
ndetefyose

Member
May 3, 2021
17
45
Vitu vya ajabu mkuu, ww mtu anakuambia i love you hunny ukimjibu i love you too, tayari ni kesi kubwa sna kma ni chakula anaweza piga teke, kisa eti sijamalizia “i love you too baby”
Ndoa ya watoto hii na maisha ya Tamthilia. Kuweni watu wazima sasa na muache kufake life.
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
8,050
2,000
Vitu vya ajabu mkuu, ww mtu anakuambia i love you hunny ukimjibu i love you too, tayari ni kesi kubwa sna kma ni chakula anaweza piga teke, kisa eti sijamalizia “i love you too baby”
hahahahaha toka uko Afghanistan
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom