Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Sasa huo ulabu si ndiyo unakupoteza kabisa, unatakiwa uwe kamili ili kutatua changamoto zote!
Naweka ganzi kichwani akipiga porojo nakuwa kma nasikiliza radio akimaliza, nampiga show nalala zangu, nasubiria vituko vya kesho
 
Baadaye atajiona mjinga na kujirekebisha mwenyewe sasa mke anaongea na Mme anamjibu! Wengine zinakuwa ni stress za kulea watoto
 
Hapo umenielewa mkuu, changamoto za ndoa zina mwisho wake ila namna ya kuvumilia mpaka ziishe lazima cheche ziruke
 
Yaani kuna wakati mpaka unajiuliza hivi huyu kwanini namjibu na tunaishia kurumbana tu, hapo sasa akili inakuwa ya mmoja wapo inakuwa imechuja malumbano hayo, ukimjua tu vitu vingine unapotezea tu ili maisha yaendelee.
 
Ila wanawake. Mada inaweza ikaanza saa tisa usiku. Mmemaliza shoo kaenda toi amerudi umepitiwa na usingizi unasikia mtu anakusemesha.

"Nilishakwambia viatu vyako na Soksi uvulie kule. We nakusemesha unajifanya umelala?"
 
Haaaa akisafiri wiki tu unamkumbuka kweli
 
Kuna jamaa ni msabato safi. Kila akitoka job saa 10, anapitia bar, anaagiza maji makubwa au redbull. Anakaa pale mpaka saa au 3 kasoro then anawasha gari kuelekea kwake Gongo la mboto. Hii ratiba ana mwezi wa 6 tokea ianze, hatujui nyumbani kwake kuna nini, na hakuna anayemuuliza.
 
Vitu vya ajabu mkuu, ww mtu anakuambia i love you hunny ukimjibu i love you too, tayari ni kesi kubwa sna kma ni chakula anaweza piga teke, kisa eti sijamalizia “i love you too baby”
Hahahahahahahaha
 
Ndoa ya watoto hii na maisha ya Tamthilia. Kuweni watu wazima sasa na muache kufake life.
 
Nilichojifunza mwanaume hakikisha katika maisha yako yote fanya juu chini uwe na mchepuko wa maana.

Narudia Tena make sure unakuwa na mwanamke wa pembeni mzuri haswaaa. Wake zetu wengi Wana gubu. Ili usife mapema kwa stress na kutofurahia maisha kuwa na mtu wa pembeni wa kula nae maisha. Utaona dunia inanyoooka taratibu shwari kabisa.

Ila Sasa jifanye una Huyo Huyo mke mmoja siki akikuvuruga utakuwa na kichaa.

Mtakuja kunishukuru baadae kwa huu ushauri. Huu ni mwaka wa 10+ Nina michepuko na mambo yanaenda sawia home.
 
Kuna michepuko inasaidia kudumisha ndoa
 
Kutoboa maishani usimshirikishe Mke

Mkuu kwenye hili
Labda inategemeana na mke ulienae wewe
Me sijaowa ila kuna wadau wangu wawili wamejenga nyumba kwa kushilikiana na wake zao
Kuna jamaa yangu mmja hivi ni fundi
Mkewe pia ni fundi
Walifungua account ya pamoja
Kila mmja alikua anaweka hera aliyoipata kwa wakati wake
Leo wananyumba yao!

Kwahyo tuseme tu kua wanawake hawafanani na kila mmoja anatakiwa kumuangalia wakwake
 
Back
Top Bottom